Kwanini Mnipangie Bei ya Kuuza Sukari?

Bado hujaelewa mkuu
 
Bado hujaelewa mkuu
Mkuu wewe ndio umeaminishwa kwamba Tatizo ni walanguzi na wafanyabiashara wanaoficha mizigo mimi nakwambia tatizo ni incompetent ya watawala....

Naomba nijibu kwanini hili litokee sasa na sio mwaka mzima ? Kwamba wanaficha mzigo mpaka lini mfano capacity ni gunia moja wao wanauza kilo moja na kuweka hizo 90; wanaziweka ili waziuze lini na wapi ?

Lazima kuna wakati katika mwaka kuna uhaba ili waweze kuachia hizo 90 walizoficha (sasa kwanini tusihakikishe hakuna uhaba)? Ndio yaleyale kwamba hakuna shida ya Dollar wakati watu wakienda Benki hakuna Dollar (Yaani full ulaghai)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…