Kwanini mnywaji wa pombe ukimuita mlevi anakasirika?

Kwanini mnywaji wa pombe ukimuita mlevi anakasirika?

Habar zenu wadau.

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli hii imekaaje wadau?
Mlevi anaweza kuwa mtu yeyote mwenye URAIBU wa kitu chochote. So unapomwambia mtu ni mlevi ni kwamba unamwambia wewe ni mgonjwa unahitaji TIBA. Ni tusi, ni kejeli na ni dharau. Sio kila mnywa pombe ni mlevi na sio kila mlevi ni mlevi wa pombe.
 
Mkuu wewe nina uhakika unakula chakula asubuhi, mchana, jioni.. unafikiri utafurahi tukikuita "mlafi" sio kila nywaji ni mlevi.
Jina sahihi hapo ni mlaji na sio mlafi.
Mlevi ni mtumiaji wa kilevi na sio mtu aliyelewa pekee. Ni maneno ya kiswahili tu!

Watu wengi hawapendi kuitwa walevi kwa sababu ulevi sio sifa njema!
 
Habar zenu wadau.

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli hii imekaaje wadau?
Mlevi ni tusi. Addict ni kuwa wewe umepitil;iza katika hali ya kawaida ya wanadamu wanaokunywa, unakwenda kwenye extreme kupoteza utu/heshima and the like. Hivyo ukimwambia mtu kuwa ni mlevi, atakuponda ponda kwa mawe.
 
Huo ndo mtazamo wa wa walevi wengi kudhani kwamba neno mlevi ni tusi ila sio uhalisia ulivyo neno mlevi sio tusi
 
Back
Top Bottom