Kwanini mnywaji wa pombe ukimuita mlevi anakasirika?

Habar zenu wadau,

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?
Siyo kila mnywa pombe ni mlevi, ila kila mlevi ni mnywa pombe..!! Sasa kumwita mywa pombe kuwa ni mlevi unakosea
 
Ili uwe mlevi ni lazima uwe umepita hatua zifuatazo.
Na hakuna mlevi anayekubali sifa ya ulevi.

-- kulala mtaroni na wahuni kufanya yao.
-- kujikojolea kwenye suruali,
--kupigwa makofi hata na watoto wako ni kawaida.
-+kupoteza network na hata kusahau njia ya home.
--Kuimbaimba na kucheza hovyo hadharani.

Kwa kifupi mlevi ni mnywaji aliyeshindwa kui control pombe.

Hali hiyo ni kwa mlevi yeyote hakubali kuitwa mlevi.
 
😂😂😂 Kwani wapo wanaolewa na wasipitie ata sifa 1 kati ya izo ulizotaja?
 
Ukimkuta mtu anakula ukimuita Mlafi pia anakasirika sana🤣🤣🤣🤣

Ukimkuta anakunywa we mwambie Boss/tajiri naona unajipumzisha🤣🤣🤣
😄😄 Na ukimkuta mtu na mchepuko wake wame-chill sehemu Wasalimie kwa kuwaambia 'Naona wazinzi mmetulia mnakula upepo tu',utaleta majibu humu hali itakavyokua mkuu.
 
Habar zenu wadau,

Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua wanyaji wengi wa pombe ukiwaita walevi wanakasirika japo sio wote, ila % kubwa wapo ivo.

Kwanini wakasirike wakat ni walevi kweli, hii imekaaje wadau?
 
Sisi ni walipa kodi bana
Usituite walevi,muwe na heshima

Ova
20220828_090604.jpg
 
Back
Top Bottom