Utaniitaje mlevi wakati ndio mlipa kodi mkubwa nchi hii.Utaniitaje mlevi wakati nina usafiri binafsi,utaniitaji mlevi wakati watoto wangu wanasoma shule sio za kata,utaniitaje mlevi wakati nina nyumba ya kuishi nzuri tu,Utaniitaje mlevi wakati nimekuzidi wewe mnywa kahawa kijiweni,hebu...