Anaonekana hafanyi kazi yake vizuri, biashara ya sukari ipo chini yake.Kwani bei ikiwa juu waziri wa kilimo Bashe anafaidi nini labda?
Kubwa sana asante nimeelewaAnaonekana hafanyi kazi yake vizuri, biashara ya sukari ipo chini yake.
Azim Dewji anauza sukari kwa Shillingi 2,800 bei ya reja reja. Bei ambayo hata viwanda vya Tanzania hawaiuzi kwa jumla.
Dogo hilo?
Anafunga viwanda vyote au vya mkonge tu?Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
Dogo mbona hupiganii haki za wale waandishi wenzako wa mwanahalisi waliotapeliwa na kijana wa mbowe?Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
π€ππ€Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga viwanda vyake.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye viwanda hivyo .
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga viwanda vyake alivyovijenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
View attachment 2946409
π€kuna mbinu imebuniwa ya kodi kukwepwa...π€£π€£π€£π€£
π€£ π€£ π€£Achwe afunge aone, CCM watasema SIYO MTANZANIA, na ataondolewa yeye na ndugu zake. Account zake zitakuwa frozen, na mali zitataifishwa na kuuzwa kulipia madeni anayodaiwa.
Atapelekwa INDIA kwa kuongelea, chezea majambazi.
π€πGharama kubwa za uzalishaji + kodi kubwa = faida kiduchu au hakuna faida (hasara)
π€ππKwa sababu walio mteka hawaja chukuliwa hatua yoyote na wanapewa teuzi.
Swali la kitoto sana hili!Kwani bei ikiwa juu waziri wa kilimo Bashe anafaidi nini labda?
Ramadan Mubarak ππππ₯Endelea kufunguka mkuu
Usiwasikilizage hao..Majuzi Jakaya kasema, "mazingira ya utulivu wa kibiashara aliyoweka Samia ndani ya hii miaka mitatatu hakuna mwekezaji anayetamani kufunga au kuhamisha biashara zake". Sasa inakuwaje kwa Moooooo?
Huyu Bashe .....mbona siku hizi kama karogwa?.....huko nyuma hakuwa hivyo.Bashe kibaraka katumwa na Mo atishie nyau Ila sio vizuri hilo take waziri Bashe anaharibu kwa hiyo statement kuwa mwekezaji ukiwekeza Tanzania huruhusiwi kufunga biashara serikali itakukomalia.Hiyo statement inatisha wawekezaji
Raisi amuondoe uwaziri
LabdaLabda Bashite anataka kumfanyia umafia kama wa mwanzo.
Unazungumzia nyuma ipi?Huyu Bashe .....mbona siku hizi kama karogwa?.....huko nyuma hakuwa hivyo.
Watu hawaangalii maslahi ya nchi, wapo kwaajili ya personal gains, vinginevyo hii isingetokea katu hata siku Moja kuacha watu wachache wamiliki uchumi wa nchiHuko duniani ukiwa mfanyabiashara mkubwa unatakiwa uuze Shea ili usiwe kibri wenye Shea nyingi ndio waamuzi wa nini kifanyike....hili ni somo....je?kesho mzee Bakhresa nae akiamua kufunga...itakuwaje?....athari ni kubwa kuliko tunavyofikiri....sijui nyie mnafikiriaje?...hebu wasomi tusaidieni hapo.....