Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

Hapo unachezwa mchezo serikali itoe pesa za kumfidia, mbona upande wa Simba anapata hasara na hataki kujitoa? mhindi ni tapeli haswa
 
Tanzania Makodi ndo Tatizo kubwa na Wanasiasa awapo Tayari kushughulikia hilo... Walio wengi wanaona sawa tu.Mitambo ufunguliwa na kufungwa tena. Huko Rwanda anaweza pokelewa na kupewa King size treatments na malighafi zikapita hapa hapa Dar... Sisi tukawa tuna import MO Energy toka Rwanda. Tanzania Umeme bei juu.Kodi zipo nyingiii na zipo juu,Garama za Logistics zipo Juu kutokana na Bei ya Diesel na Petrol... Mfanya Biashara anaponaje??Ipo haja ya Serikali ya Tanzania kujifunza India juu ya Maswala ya Kodi na Pia kuja na mikakati ya kuongeza Walipa Kodi..... Tanzania inauwezo wa kuongeza walipa kodi zaidi ya 10M kwa mwaka 2024-2026 ,Tatizo Wahusika kwa kuwa wanapata Mishahara kila Mwezi na Marupurupu they dont care! Kuna Kampuni ilikujaga hapa TZ kushauri TRA njia za kuongeza idadi ya walipa Kodi.... Wakaambulia za uso.
 
Yes. Morogoro kuna kiwanda Mweshimiwa Rais Aliongea na Wamiliki wake wakarudi na kukifunguwa hicho kiwanda na mpaka sasa kipo kinafanya uzalishaji.
 
Kwa hiyo mtu anaweza kulazimishwa kuendesha viwanda hata kama yeye anataka kufunga viwanda vyake?
Yes. Morogoro kuna kiwanda Mweshimiwa Rais Aliongea na Wamiliki wake wakarudi na kukifunguwa hicho kiwanda na mpaka sasa kipo kinafanya uzalishaji.
 
CCM wanataka kutuzoea sana wafanya biashara na wawekezaji wanaoisaidia jamii na kukumbatia Wazungu na warabu wanyonyaji wanaowalambisha asali. MO akaze mpaka lifanyike jambo la kueleweka Shit kabisa.
 
Angekuwa anataka kufunga enzi za Magufuli kila rangi mngeiona humu! Nchii hii ina watu wajinga wengi sana!
 
Majuzi Jakaya kasema, "mazingira ya utulivu wa kibiashara aliyoweka Samia ndani ya hii miaka mitatatu hakuna mwekezaji anayetamani kufunga au kuhamisha biashara zake". Sasa inakuwaje kwa Moooooo?
Huyo mzee mhuni na mwizi haaminiki kwa chochote!
 
Mazingira ya uwekezaji yalivyoboreshwa kwa sasa kuna kufunga viwanda tena.
 
Umeme hakuna, kodi zimebakia pale pale, gharama nyingine kama mishahara ya wafanyakazi, michango ya Social security fund, CSR, na matozo kibao, vyote vipo pale pale. Hiyo faida itapatikanaje? Kwa nini mtu asiende kuwekeza kwenye nchi zinazoongozwa na watu wenye uelewa?
 
hapati faida
 
Big Players wa Chai kwa Bongo ni wazungu wa Uniliver nao nasikia waliuza biashara zao sijui nani alitake over
 
Huu ni mkakati wa kifisadi wa Bashe na genge lake wasamehe mabilioni ya kodi wagawane hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…