Kwanini Mo 'hatamuweza'Manara

Kwanini Mo 'hatamuweza'Manara

Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Halafu Mo ni muhindi na tabia za wahindi ni kudhurumu ngozi nyeusi. Ila historia ya Manara na mateso aliyopitia anaweza kutengeneza bonge moja la series/tamthilia halafu aigize yeye mwenyewe. Bonge moja la stori.
 
Nakukumbusha tu "HUWEZI KUPAMBANA NA TAJIRI"


Mwenzako Katia Billion 20 wewe unaleta maneno. Peleka maneno kwa MKE wako

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Matajiri wanawababaisha watu wanaotoka shamba..
Ukiona mtoto wa mjini anaitisha Press Conference na anamshambulia tajiri wazi wazi bila woga na jina anamtaja ujue tayari
Tajiri kaingia kuminane .
 
Matajiri wanawababaisha watu wanaotoka shamba..
Ukiona mtoto wa mjini anaitisha Press Conference na anamshambulia tajiri wazi wazi bila woga na jina anamtaja ujue tayari
Tajiri kaingia kuminane .
Hata kule Yanga wakina mzee Yahya Akilimali walikuwa wanaitisha Press conference kumzodoa Yusuph Manji. Au umesahau?

Yusuph Manji baada ya kuswekwa ndani na Serikali yanga ikaanza kuyumba. Hukuona hata mtu mmoja anaenda kutoa walau hela ya Maji ya kandolo.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tukiachana pia na ulichokizungumza, Kisheria Haji amemmpiga bao MO.

1. Kutumikishwa kinyume na Sheria za Uajiri kwa miaka sita bila mkataba.

2. MO kumdukua Manara bila ya idhini yake. Hili ni kosa kubwa sana.

MO yupo pale kimaslahi huku akilia kuipambania Simba kwa jasho na damu. Upuuzi tu.
 
MO yupo vizuri kwenye biashara. Ni mtu ambaye anaweza kutumia mbinu yeyote ile ili apate faida kibiashara.
Tatizo lake kubwa ni kupenda umaarufu. Anapenda mno umaarufu na kuwa stejini, yaani anatamani angekuwa muimbaji maarufu, mchungaji/shehe maarufu au mwanasiasa maarufu.
Nadra sana kupata vyote.
 
Back
Top Bottom