Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,365
- 1,473
Tumemzoea akibanwa kidogo tu kwa hoja anatishia kuondoka.Tayari Mo ametishia kuondoka Simba
Sio part two, hii ni series tusubiri episode ya piliKanjibai kakutana na mtoto wa Town.
Acha awalipue tunasubiri part two
Kwanini hukujiita lunatic kabisa....Nakukumbusha tu "HUWEZI KUPAMBANA NA TAJIRI"
Mwenzako Katia Billion 20 wewe unaleta maneno. Peleka maneno kwa MKE wako
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mpira wa bongo unaendeshwa kwa fitna. Mtu kama Manara anaweza kuwa na nguvu kuliko pesa pesa.Nakukumbusha tu "HUWEZI KUPAMBANA NA TAJIRI"
Mwenzako Katia Billion 20 wewe unaleta maneno. Peleka maneno kwa MKE wako
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Inaonekana umeujulia mpira wa Simba na Yanga ukubwani.Mpira wa bongo unaendeshwa kwa fitna. Mtu kama Manara anaweza kuwa na nguvu kuliko pesa pesa.
Nakukumbusha tu "HUWEZI KUPAMBANA NA TAJIRI"
Mwenzako Katia Billion 20 wewe unaleta maneno. Peleka maneno kwa MKE wako
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mwamedi mwenyewe hachelewi kuzira na kwenda kusema kwa baba yakeSio part two,hii ni series tusubiri episode ya pili
Hata kule Yanga wakina mzee Yahya Akilimali walikuwa wanaitisha Press conference kumzodoa Yusuph Manji. Au umesahau?Matajiri wanawababaisha watu wanaotoka shamba..
Ukiona mtoto wa mjini anaitisha Press Conference na anamshambulia tajiri wazi wazi bila woga na jina anamtaja ujue tayari
Tajiri kaingia kuminane .