MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Swali kwa wana Simba na wengineo:
Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.
Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?
Naona kama mo ananyonywa vile, maana anakomaliwa aweke bilioni 20..huku mzigo wote wa kuendesha timu kaachiwa yeye peke yake kama kusajili na kulipa mishahara wachezaji.
Naomba mnijibu bilion 22 za wenye hisa 51% wao wanaziweka lini kwenye account ya Simba?