Kwanini Mo mwenye hisa 49% Simba atoe bilion 20 na wengine wenye hisa 51% hawatoi hela yeyote

Kwanini Mo mwenye hisa 49% Simba atoe bilion 20 na wengine wenye hisa 51% hawatoi hela yeyote

Kuanza mo mwenyewe na wengine wote ni janja janja tu. Hakuna mahala hata ukifuatilia utakutana na mikataba iliyo kisheria vizuri. Na ukianza kufuatilia tu habari za hivyo unaonekana huitakii mema club.

Hizi club za bongo bado saana kufikia zinapotakiwa ili zijiendeshe zenyewe kisasa. Hapo mo mwenye hisa 49 tu akiachia ngazi tu timu yote ndembendembe. Bado hao wanachama ukiwaambia basi mwenye kusajili,kufadhiri timu,kutoa hela,tumuachie timu 100%, hawatakuelewa
Hebu nieleweshe, janja janja ya MO ni ipi'? Kama pesa anatoa..tafadhar mzee nieleweshe hio janja janja ya MO ni ipi?
 
MO ndio maana hatoi na hatotoa hizo fedha kwakua thamani ya malizote baada ya tathmini zimeonekana hazizidi bilioni 4. Nayeye amesema kila mwaka amekua akitoa bilioni tatu kwa shughuli anazo ifanyia Simba. Ina maana mbaka Sasa kwa hesabu za haraka ameshatoa bilioni 12 tena za ki maandishi. Tayari iyo timu ni ya kwake kwaiyo msichonge sana anapofanya maamuzi bila kushirikisha wanachama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli ni yKe
 
Yaani Eymael inabidi apewe tuzo kwa sababu kila siku maonyesha wazi utopolo ni uneducated simba ilikuwa timu ya wanachama asilimia mia moja mo kachukua asilimia 49 kwa bilioni 20 halafu mtu anaanzisha mada Simba watoe pesa ya asilimia 51ujinga wako peleka sehemu nyingine
kwa hiyo wanachama wameweka bil 22 sio?
 
Swali kwa wana Simba na wengineo:

Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.

Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?

Naona kama mo ananyonywa vile, maana anakomaliwa aweke bilioni 20..huku mzigo wote wa kuendesha timu kaachiwa yeye peke yake kama kusajili na kulipa mishahara wachezaji.

Naomba mnijibu bilion 22 za wenye hisa 51% wao wanaziweka lini kwenye account ya Simba?
Kwa ufupi ni kwamba hizo 51% zilitengwa makusudi kusudi Muwekezaji asijejejichukulia Club Kirahisi. Lengo ni kwamba wanachama pindi watakapokuwa tayari kwa mda maalum wazinunue. Pia MO kwa kuanzia tayari aliahidi kuwanunulia wanachama hisa za thamani ya 500,000 kwa kila mwanachama katika kuwasaidia kufikia lengo lao la kumiliki 51%. Kama ungekuwa ni mzigo asingeingiza miguu yake. Na mbaya zaidi mpaka sasa wakati tunaposubiria mchakato umalizike yeye MO ndiye anaiyefaidi saana kupitia matangazo ya biashara na mapato yote kwa hivi sasa yote yapo chini yake (anazungushia biashara zake).Kwa mfano aliingia mkataba na Club wa kutangaza bidhaa moja tu ya Mo Extra ila sasa amechomekea MO Halisi na MO Protector
 
Mo hata kama angetoa billion 100 lazima zirudi na faida kupitia upangaji wa matokeo ili kushinda mikeka yake anayokuwa amebet
 
Swali kwa wana Simba na wengineo:

Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.

Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?

Naona kama mo ananyonywa vile, maana anakomaliwa aweke bilioni 20..huku mzigo wote wa kuendesha timu kaachiwa yeye peke yake kama kusajili na kulipa mishahara wachezaji.

Naomba mnijibu bilion 22 za wenye hisa 51% wao wanaziweka lini kwenye account ya Simba?
Mali za simba SC ndio hizo 51%
 
MO ndio maana hatoi na hatotoa hizo fedha kwakua thamani ya malizote baada ya tathmini zimeonekana hazizidi bilioni 4. Nayeye amesema kila mwaka amekua akitoa bilioni tatu kwa shughuli anazo ifanyia Simba. Ina maana mbaka Sasa kwa hesabu za haraka ameshatoa bilioni 12 tena za ki maandishi. Tayari iyo timu ni ya kwake kwaiyo msichonge sana anapofanya maamuzi bila kushirikisha wanachama.
Mazee at times tuwe tunatumia akili kidogo, Mo alininunua asilimia 49 ya Simba kwa bil 20, mzigo huu alipaswa autoe wote ndio hoja ya pesa za management ya club ifuate.
Pia Mo hawezi kufanya maamuzi peke yake kwani bado siyo majority shareholder. Mwanzoni alitaka kununua 51% ya hisa ili aweze kufanya maamuzi ila serikali ilikataa ndio maana akapewa 49% ili wanasimba / shareholders wengine wawe na maamuzi makubwa.
 
Swali kwa wana Simba na wengineo:

Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%.

Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini?

Naona kama mo ananyonywa vile, maana anakomaliwa aweke bilioni 20..huku mzigo wote wa kuendesha timu kaachiwa yeye peke yake kama kusajili na kulipa mishahara wachezaji.

Naomba mnijibu bilion 22 za wenye hisa 51% wao wanaziweka lini kwenye account ya Simba?
Ada ya uanachama walikuwa wanalipiwa wakati wa uchaguzi. Hawawezi kununua hisa.
Bei ya hisa moja haijulikani. Kuna tetesi ni laki nne
 
Unasema simba ni asilimia 100 shea

Mo kanunua shea 49% kwa bilioni 20

Wanachama wa simba nao wana hisa 51% ila wao ni za bure bure hawatakiwi kutoa pesa kwenye account ya club..

Sasa mtaji wa asilimia 100% utakamilikaje kama mtoa pesa ni mmoja tu mwenye 49% ?

Faida na hasara wanahisa watagawanaje mwishoni mwa mwaka kama mtaji anatoa mtu mmoja tu mwenye 49% na wengine wenye 51% hawatoi kitu.. faida na hasara wataipata vipi hao wenye 51% ?
Una kichwa kigumu sana.
Umeambiwa wanachama walikuwa wanamiliki club 100% sasa wameamua kumuuzia muwekezaji 49% ya kile wanachokimiliki na bado unataka waweke na 22bill!!!!! Yani wewe uwe na duka la nguo umuuzie mteja jeans moja kwa 10k then umuongezee na 12k juu itakuwa unafanya biashara au upuuzi. Wanachana ndiyo wamiliki wa club na ndiyo walioamua kuiza sehemu ya umiliki wao
 
Unasema simba ni asilimia 100 shea

Mo kanunua shea 49% kwa bilioni 20

Wanachama wa simba nao wana hisa 51% ila wao ni za bure bure hawatakiwi kutoa pesa kwenye account ya club..

Sasa mtaji wa asilimia 100% utakamilikaje kama mtoa pesa ni mmoja tu mwenye 49% ?

Faida na hasara wanahisa watagawanaje mwishoni mwa mwaka kama mtaji anatoa mtu mmoja tu mwenye 49% na wengine wenye 51% hawatoi kitu.. faida na hasara wataipata vipi hao wenye 51% ?

Kitu kimoja cha kuelewa, hiyo 51 inasimama kwa ajili ya klabu.

Hao wenye 51 percent mchango wao ni kuifikisha hapo alipoikuta Mo. Kama unadhani ni rahisi, mwambie akaanzishe timu yake aone.
 
Back
Top Bottom