Kwanini Moderators hawachangii mada?

kwa yoyote kula ban atoe uzoefu wake jinsi alivyokuwa mnyongeee
 
Wapo humu humu kila siku mpo nao na kuna wakati mnabishana/mnalumbana nao.

Sema huwezi kuwastukia kwa kuwa wanaingia kivingine
 
Wana iPhone S 7 hivyo post zao si rahisi kuziona kama unatumia tekno
 
ni vizuri taratibu hizi zingeendea
 
Invisible hivi bado yupo?

Cc Cookie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…