Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa wanalaiki post zenye usodoma na gomora tena wana like kwa kuzifuta.basi hata kulike tu
kulikoni tena mheshimiwa....kwii kwiiii
nacheka tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]huwa wanalaiki post zenye usodoma na gomora tena wana like kwa kuzifuta.
Sasa kama ni hivyo tutaziepuka vipi ban?, hiyo haikubalikiWana Fake IDs zao wanazotumia kujiachia....Sasa ukizinguana nae analogin kwa ID ya kiModerator na kukuchapa ban na kuunganisha nyuzi zako
Heeee sasa wanalikije na kufuta?huwa wanalaiki post zenye usodoma na gomora tena wana like kwa kuzifuta.
andika post mbaya harafu uone kama itabaki kuwepo humu....hapo ndo wamelike...kwa kuifutaHeeee sasa wanalikije na kufuta?
ni vizuri taratibu hizi zingeendeawanachangia hasa ktk mada za memba wanao hitaji msaada ktk majukwaa.
LAKINI OIA INVISIBLE MIAKA YA NYUMA YEYE MWENYEWE ALIKUA AKIANZISHA MADA NA KUJIBU HOJA MBALIMBALI
il sababu kuu ni kutotaka kuonesha msimamo wao ktk mambo ya kisiasa uchumi kidini n.k ili wanapo shusha rungu la ban wasionekane wamependelea au kumwonea yeyote kama wangeweka misimamo yao waziwazi.
Invisible hivi bado yupo?wanachangia hasa ktk mada za memba wanao hitaji msaada ktk majukwaa.