Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe hata mods wana IDs michepuko?Mods wapo wanaochangia, mfano Invicible na Buchanan walikuwa wanachangia sana mijadala miaka ya 2015 kurudi nyuma huko.
Ila kwa sasa nachokiona kuna IDs maalum zimetengenezwa kwa ajili ya Mods tu ambazo hazikuzuii kuwa na ID yako binafsi hata kama wewe ni mod, kwamba hata siku ukiacha kazi ya u-mod anapewa mwingine hio ID inaendelea kupiga kazi huku wewe ukibaki na ID yako kama kawaida, ndio maana kuna mod1, mod2, mod3, mod4 na kuendelea huko.