Kwanini Morogoro ni ngumu kuwa jiji kubwa la kisasa

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi.

Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma. Hii ni ngumu sana uwekezaji kufanyika hapa.

Pole Morogoro utabaki kuwa njia panda.
 
Kwa hiyo Dodoma ni jiji Kubwa?
Tuwe serious kidogo jamani!!
 
JIJI, MANISPAA, MIJI zote ni mbwembwe tu maisha ni yale yale
 
Sijajua mleta mada anataka nini? Kwa maana mpaka sasa morogoro sio jiji bali ni manispaa
 
"Morogoro, Mji kasoro bahari". Sijui walikuwa na maana gani na msemo huu? Mbona kuna miji mingi ambayo haina bahari, lakini Morogoro ndiyo maarufu kwa hilo la Mji kasoro Bahari!
 
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi.
Nikiangalia kiuhalisia Morogoro inatanuka polepole sana na watu wake karibu wote wanafahamiana, huwa nailinganisha na mji wa Mafinga ambao unakua kwa kasi kuizidi Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…