Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Katika tathmini ya majiji yote kukua hutawai kuisikia Morogoro inakua au inategemewa kukua kutokana na miradi au vipaumbele vya nchi.
Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma. Hii ni ngumu sana uwekezaji kufanyika hapa.
Pole Morogoro utabaki kuwa njia panda.
Morogoro ipo katikati ya majiji mawili makubwa Dar na Dodoma. Hii ni ngumu sana uwekezaji kufanyika hapa.
Pole Morogoro utabaki kuwa njia panda.