Kwanini Moshi kuna Bajaji nyingi kuliko Daladala?

Mkuu sidhan kama ushawahi kufika mbeya nadhani usingeandika kuhusu moshi, mbeya bajaji ni nyingi mnoo
Hivyo vibajaji viwili ndio inasema vingi kuliko dagaldala we jamaa vipi aisee, hujatembea miji ya watu uone bajaji wewe
Maana yangu ni bajaj ni nyingi kuliko dalali ila sio nyingi kuliko mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…