Kwanini Moshi kuna Bajaji nyingi kuliko Daladala?

Kwanini Moshi kuna Bajaji nyingi kuliko Daladala?

Ukienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.

Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?

hiyo picha hapo sio Moshi, ruti za Moshi mjini ni fupi fupi kwa hiyo waliokuwa na magari haondoki mpaka abiria wamejaa hii ilikuwa ni kero sana kwa abiria. Zilipoanza bajaji hakuna ikawa hakuna anaetaka kukaa ktk hiace asubiri wakati bajaji watu watatu au wawil mnaondoka
 
Auae kwa upanga hufa kwa upanga, biahsara ya coaster na Isuzu journey iliua biashara ya mabasi makubwa, na zenyewe kikaja uliwa na hiece, nazo hiece zinauliwa na bajaj
 
Sababu kubwa ni kwamba Moshi ni nusu mji nusu kijiji !
 
Swala ni dogo tu.. jamii sasa hivi haitaki kupoteza muda kwenye kituo cha daladala kusubiria ijae.. hivyo kwa kuwa mbadala wa kuwahi unepatikana bajaji ina chukuwa watu wa3 au 4 so dakima moja tu msha jaa mnasepa na pia bei zao unakuta ni sawa na zile za daladala.. je kama nj wewe utapotezea ninj muda kwenye daladala la kujaza kwa dakika 45 wakati bajaji huwo muda ishatoka kituoni na isha kufikisha uendako na upo nyumban au kazin unafanya shughuli wakat wale ulio waacha stand ndio kwanza wanatoka kituon
 
Kigoma cherehani ni nyingi sana kuliko watu[emoji2][emoji2]
 
Ukienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.

Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?

Sasa mbona kiambatanisho cha picha sio Moshi hapo?

Hapo ni Uhuru Road Kariakoo Dar es Salaam, Kwa mbaaali naiona junction ya Msimbazi Road.

Naomba ubadili picha tafadhali.
 
Ukienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.

Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?

Huyo jamaa mwenye mfuko mweupe karibu na bajaja nyekundu amembeba Ndugai ndani kwenye huo mfuko anampeleka mawenzi hospital akachomwe sindano za kichaa Cha mbwa, nasikia ameanza kubweka baada ya uropokaji pale mjengoni
 
Sasa Kwa Mtei kupitia Majengo Sec utaenda na daladala gani?

KCMC kupitia Rau utaenda na daladala gani?

Kuwahi pindi Muco utawahi kwa daladala gani?

Memorial sokoni kupitia line polisi utasubiri daladala za Soweto sana.

Don Bosco kwenda Bonitte daladala zinazingua sana

Hapo bado hujaongelea sababu nyingine nyingi mfano uchelewe nusu saa kisa kubana shilingi 100, bajaji 500 unafika fasta daladala 400 unachelewa hatari.
 
Back
Top Bottom