THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
Sababu Kuna wapinzani wengi. Na Sabaya hawapendiUkienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
Halafu zina nidhamu sana zimejipanga kama zinauzwaUkienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
Hahahaaa halafu ndiko anakotoka mchumi namba moja wa uchumiNa mimi nilishangaa kukuta baiskeli nyingi sana Tabora.
hiyo picha hapo sio Moshi, ruti za Moshi mjini ni fupi fupi kwa hiyo waliokuwa na magari haondoki mpaka abiria wamejaa hii ilikuwa ni kero sana kwa abiria. Zilipoanza bajaji hakuna ikawa hakuna anaetaka kukaa ktk hiace asubiri wakati bajaji watu watatu au wawil mnaondokaUkienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
Ni karibu kila abiria ana bajaj yakeMkuu sidhan kama ushawahi kufika mbeya nadhani usingeandika kuhusu moshi, mbeya bajaji ni nyingi mnoo
Auae kwa upanga hufa kwa upanga, biahsara ya coaster na Isuzu journey iliua biashara ya mabasi makubwa, na zenyewe kikaja uliwa na hiece, nazo hiece zinauliwa na bajajhiyo picha hapo sio Moshi, ruti za Moshi mjini ni fupi fupi kwa hiyo waliokuwa na magari haondoki mpaka abiria wamejaa hii ilikuwa ni kero sana kwa abiria. Zilipoanza bajaji hakuna ikawa hakuna anaetaka kukaa ktk hiace asubiri wakati bajaji watu watatu au wawil mnaondoka
Dah....hujafika Kariakoo....watu ni wengi Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimi nilishangaa kukuta baiskeli nyingi sana Tabora.
uchumi wa kati, daladala zinapoteza muda wa kufanya kaziUkienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
Tabora baiskeli ni nyingi kuliko watu [emoji1787][emoji1787]Dah....hujafika Kariakoo....watu ni wengi Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa korogwe mji gani na wewe? Unaona nyingi sababu ya udogo wa mjiUmewahi kufika korogwe mkuu? Hapo ndio kuna Bajaj mpaka utakimbia
Ukienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
Huyo jamaa mwenye mfuko mweupe karibu na bajaja nyekundu amembeba Ndugai ndani kwenye huo mfuko anampeleka mawenzi hospital akachomwe sindano za kichaa Cha mbwa, nasikia ameanza kubweka baada ya uropokaji pale mjengoniUkienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria.
Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?