Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,019 Reaction score 10,455 May 11, 2021 #41 Ntovye said: Sasa korogwe mji gani na wewe? Unaona nyingi sababu ya udogo wa mji Click to expand... Hata Moshi mjini Ina ukubwa gani? Almost the same tu.unless unaongelea mkoa wankilimanjaro Ila Moshi ni wilaya na padogo sana
Ntovye said: Sasa korogwe mji gani na wewe? Unaona nyingi sababu ya udogo wa mji Click to expand... Hata Moshi mjini Ina ukubwa gani? Almost the same tu.unless unaongelea mkoa wankilimanjaro Ila Moshi ni wilaya na padogo sana
Artifact Collector JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 6,617 Reaction score 10,205 May 14, 2021 #42 kijana13 said: Halafu huo mji bana katika kupita pita sijakutana na mmachinga mwanaume.....itakuwa asilimia 90 ni wanawake.. Click to expand... Hata masokoni waliojaa ni Wanawake
kijana13 said: Halafu huo mji bana katika kupita pita sijakutana na mmachinga mwanaume.....itakuwa asilimia 90 ni wanawake.. Click to expand... Hata masokoni waliojaa ni Wanawake