Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 193
Hebu kamchunguze vizuri huenda hata chupi havai
Mkubwa hayo Maamuzi binafsi sana Mbona huwaambii hawa masharobaro wasinyoe viduku.....kikubwa misimamo yake anataka kufeel nature...,Mbona mapadre wakapuchini Moja ya sheria zao ni kutovaa viatu bana..mi naheshimu maamuzi yake
Anavaa bwana.. Havai kwenye show na shooting tu.
Hapana,nami nimejiuliza sana cpat jibu...ivi ni kweli mda wote yupo ivyo.
Hujawahi ona hata airport anaenda kwa wengine yupo peku.Anavaa bwana.. Havai kwenye show na shooting tu.