King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Basi ni balaa,nilijuwa ana act tu. Kama ni hivyo,ushirikina unahusika..
Maagano hayo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni balaa,nilijuwa ana act tu. Kama ni hivyo,ushirikina unahusika..
unyayo na ardhi vikigusana anakua na uwezo mkubwa sana wa kuimba/kutunga mashairi
Hahahaha hata mimi nilimsikia anasema hivyo!Anadai anataka mahusiano ya moja kwa moja kati ya ardhi na mwili wake ila hata simuelewi kivipi.
Hahahaha hata mimi nilimsikia anasema hivyo!
Misimamo mingine mi nadhani sio mizuri.
Huyu jamaa mwenye jina kubwa ndani na nje ya nchi ni kwanini havai viatu?
...anaingiaje kwenye public toilets etc ?
Mi nadhani its high time ashauriwe kuvaa viatu au hata open shoes.
Nadhani anamuiga mwana muziki mmoja maarufu wa raggee nchini Jamaica anaitwa Mutabaruka.Huyu jamaa hajawahi vaa viatu toka azaliwe kisha ni mwana muziki msomi hadi chuo kikuu na ni mtunzi mkubwa vitabi vya mashairi na ni tajiri.Kama hio haitoshi,hapendi pia kuvaa shati.Hahahaha hata mimi nilimsikia anasema hivyo!
Huyu huwa haimbi bali anaongea ongea mivitu vitu
Anavaa bwana.. Havai kwenye show na shooting tu.
Sijawahi jua hili ndio leo.. Havai viatu kabisa ama mnatania nyie!!!