Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo,asivae na nguo, avae magome ya mitiNdiyo alivyopanga kwenye shooting zake,
kutokuvaa viatu ili aonekane wa asili zaidi..
Jana nilianzisha uzi kuhusu tabia za Mrisho Mpoto kutembea peku peku na nilitoa mtazamo wangu kuhusu tabia hii, miongoni mwa mitazamo yangu ni suala la ushirikina na suala la kutozingatia unadhifu na hatari inayoweza kutokea kwa kutembea peku ikiwemo kupata magonjwa ya kama vile fangasi.
Lakini kwa maajabu kabisa moderators waliufuta ule uzi.Sasa nimeuleta tena kwa mtazamo tofauti kidogo.
Nyinyi mnaonaje kuhusu uzima wa kiakili juu ya huyu ndugu yetu, je ni kweli anatembea peku kama ishara ya kutunza na kuthamini tamaduni zetu za kiafrika kama yeye anavyodai au lah?View attachment 1037477View attachment 1037478View attachment 1037479
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dogo atakuwa alidanganywa na mganga wake aliyekufa miaka kibao iliyopita.
Wasafi buku 7 mmepishana kauli na Mpoto mnakuja kutuhoji sisi kuhusu pekuapekua zake.Jana nilianzisha uzi kuhusu tabia za Mrisho Mpoto kutembea peku peku na nilitoa mtazamo wangu kuhusu tabia hii, miongoni mwa mitazamo yangu ni suala la ushirikina na suala la kutozingatia unadhifu na hatari inayoweza kutokea kwa kutembea peku ikiwemo kupata magonjwa ya kama vile fangasi.