Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Jamaa kanywea ghafula tu yaan punguza mikwara mkuuNina ' Mabiti ' siyo ya nchi hii Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kanywea ghafula tu yaan punguza mikwara mkuuNina ' Mabiti ' siyo ya nchi hii Mkuu.
Jamaa kanywea ghafula tu yaan punguza mikwara mkuu
Daah haya mabiti ya huyu jamaa sio powa! 😬
Oi mwanangu Pancho hujabadilisha tu jina jamaa yangu. Mtoto Wa kiume kujiita baby boy sio poa kabisaDaah haya mabiti ya huyu jamaa sio powa! [emoji51]
Kuna jamaa Yangu mwingine anaitwa wakete ana mikwala kinoma lakin hana nguvu kabisa ila kwa mikwara tu lazima usandeMimi sina nguvu kabisa ' Physically ' ila Ubabe wangu wa mdomo na ' Mikwara ' yangu ndiyo inayonipa Jeuri na inanisaidia mno tu.
Km wanavyokukojolea wewe kwenye mitako yk iyo au
Vipi Victoire Ingabire amekisema kilichompata gerezani mkuu?
Mtu unamtowashi mwenzio kwa lipi ?! M7 pamekuwa zaidi ya Idi Amini. Kyagulani amepiga campaign kama M7 alivyo piga. Na wananchi wakamchagua mgombea aliyeungwa na Bobi Wine.mimi nipo hapa uganda inasemekana aliliwa kiboga, na kuvunjwa dyudyu yake mke wake now ni wa kulea watoto tu
Hawa marais wanaongoza nchi gani umesema?wanamaendeleo kuliko SA NG EGYPT MORROCO ALGERIA?Kila Mtu alidhani kama baada ya sasa kuwa amerudi nchini mwake Uganda basi ndiyo ingekuwa sehemu sahihi na wakati muafaka kabisa kwa Msanii Bobi Wine kuwaelezea sasa Wananchi wa Uganda jinsi ya alivyoteswa na Wanajeshi wa Vikosi ' Maalum ' vya SFC lakini badala yake tokea arejee namwona ' analialia ' tu kama Mtoto na Mwendawazimu fulani hivi.
Naona Kosa la ' Kipopoma ' ambalo alilifanya Msanii wa Tanzania Roma Mkatoliki la kutokusema aina ya ' mateso ' aliyoyapata ' alipotekwa ' ndiyo analirudia na huyu ' Mnafiki ' Msanii Bobi Wine wa nchini Uganda. Hivi ni wapi sehemu sahihi ya kusema ' mateso ' yako kati ya ukiwa Ugenini Marekani au ukiwa Nyumbani Uganda?
Wanaharakati wa leo wa Afrika ni Wanafiki halafu ni ' Vibaraka ' wakubwa wa Wazungu ambao wanawatumia vibaya. Marais wote wa Afrika wangekuwa kama hawa Marais wangu ' Vipenzi ' kabisa Paul Kagame ( Rwanda ), Yoweri Museveni ( Uganda ) na Dr. John Magufuli ningefurahi mno na naamini hata ' Maendeleo ' ya Bara zima la Afrika yangepatikana kwa haraka kwakuwa Marais hawa ni Imara na ' hawatishwi ' na maneno ya Watu Wapuuzi / Mijitu Mipuuzi na badala yake wao ni mbele kwa mbele tu.
Nawasilisha.
Mbona magufuli anategemea msaada wa wazungu ?
Anaogopa wata mkolimba" musseven sio mtu mzuri kabisaa"",nimewahi kusikia akihusishwa na kifo cha Dr.ali juma"....
Mama angu mzazi alinizuia nisioe huko. Nilikatisha mahusiano na binti yao na leo naelewa kauli ya bi mkubwaKumbe huwajui hawa watu, ndugu yangu mmoja alikwendaga kule kambi za wakimbizi ila yeye alikuwa mrefu na ana pua ndogo kama za kizungu. Nashangaa aliambiwa aondoke maana walimwambie eti ni mtutsi amekuja kuwamaliza kumbe ni mchagga kabisa alipangiwa kazi na serikali nikashangaa hawa watu ni wa aina gani maaana naskia ukikutana naye cha kwanza kukuangalia ni pua, kama una pua ndogo jiandae kutembelewa na wasiojulikana wakaku-panga-lize
alafu naskia ukioa kwao basi wanahamia kwako mwisho wa siku unajikuta umebaki mwenyewe na wewe mwoaji wanakutimua ukibisha basi kifu chakuhusu. Hawa sio watu ni mende
Mama angu mzazi alinizuia nisioe huko. Nilikatisha mahusiano na binti yao na leo naelewa kauli ya bi mkubwa
Hua najiuliza huyu Gentamycine ni nani ila nashindwa kuelewa. Ana akili za kipuuzi na vitisho vya kijinga sijawahi kuona. Pimbi wewe