GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huwa najiuliza Maswali mengi sana juu ya huyu Msanii ' Bwana Mdogo ' Dogo Aslay hasa kwa tabia yake ya kila akiwa anaimba ama iwe ni Jukwaani ' Mubashara ' au katika Nyimbo zake zilizorekodiwa ( Video ) lazima tu utamuona akipenda ' Kurembua ' Macho yake huku ' akijilegeza ' mno hali ambayo Kiukweli kwa Sisi Wanaume tuliozaliwa hii Mikoa ya Pwani tunapata nae taabu sana tu.
Je kwanini anakuwa hivi?
Nawasilisha.
Je kwanini anakuwa hivi?
Nawasilisha.