Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Biashara matangazo broo GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwingine anaitwa sijui LavaLava, yeye ndo kabisaa kama mtoto wa kike, na mwingine Rayvanny, uanaume hakuna kabisa ndani yao hawa watoto, wana pigo za kike, hao huku Chugga hatuwataki, waendelee kubak huko huko DarHuwa najiuliza Maswali mengi sana juu ya huyu Msanii ' Bwana Mdogo ' Dogo Aslay hasa kwa tabia yake ya kila akiwa anaimba ama iwe ni Jukwaani ' Mubashara ' au katika Nyimbo zake zilizorekodiwa ( Video ) lazima tu utamuona akipenda ' Kurembua ' Macho yake huku ' akijilegeza ' mno hali ambayo Kiukweli kwa Sisi Wanaume tuliozaliwa hii Mikoa ya Pwani tunapata nae taabu sana tu.
Je kwanini anakuwa hivi?
Nawasilisha.
Kwanini akiwa anaimba unapenda kumuangalia machoni?Huwa najiuliza Maswali mengi sana juu ya huyu Msanii ' Bwana Mdogo ' Dogo Aslay hasa kwa tabia yake ya kila akiwa anaimba ama iwe ni Jukwaani ' Mubashara ' au katika Nyimbo zake zilizorekodiwa ( Video ) lazima tu utamuona akipenda ' Kurembua ' Macho yake huku ' akijilegeza ' mno hali ambayo Kiukweli kwa Sisi Wanaume tuliozaliwa hii Mikoa ya Pwani tunapata nae taabu sana tu.
Je kwanini anakuwa hivi?
Nawasilisha.
Kwanini akiwa anaimba unapenda kumuangalia machoni?