Kwanini Msanii Dogo Aslay akiwa anaimba anapenda sana ' Kurembua ' macho na ' Kujilegeza ' kupita Kiasi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huwa najiuliza Maswali mengi sana juu ya huyu Msanii ' Bwana Mdogo ' Dogo Aslay hasa kwa tabia yake ya kila akiwa anaimba ama iwe ni Jukwaani ' Mubashara ' au katika Nyimbo zake zilizorekodiwa ( Video ) lazima tu utamuona akipenda ' Kurembua ' Macho yake huku ' akijilegeza ' mno hali ambayo Kiukweli kwa Sisi Wanaume tuliozaliwa hii Mikoa ya Pwani tunapata nae taabu sana tu.

Je kwanini anakuwa hivi?

Nawasilisha.
 
Sababu ya kulegea yaweza kupatikana kwa kupimwa mkojo kwa sampuli ya huo mkojo kuchukuliwa hapo hapo jukwaani. Halafu kwani kitu kikilegea si huwa kinakazwa?
 
Eti wa daslam wanaita swaga
Alafu wanagezana sana na yule mchafu
 
Mleta mada jana kanywa leo anahara.
 
Huyu ndiyo GENTAMYCINE"
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
"

Mwingine ni ' Fotokopi ' Mkuu, na ukiona Mtu anaumia mno au anapata sana taabu na Mimi hadi Kuhangaika nami jua Siku zake za Kuishi haziko mbali halafu ni Mtu pia mwenye Roho Mbaya na Mswahili wa Kutukuka.
 
Afadhali ww unaye muonaga unaweza ukaja na conclusive statement...!!

Mie kinachonitatizaga, ni zile Lyrics za nyimbo zake!!!! Nikawa na question mark...mbona ziko kama vile anamuimbia dume mwenzake....!!! Atakuwa bwbwa huyo jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…