Kwanini Msanii Dogo Aslay akiwa anaimba anapenda sana ' Kurembua ' macho na ' Kujilegeza ' kupita Kiasi?

Dogo hamna kitu namchwki hapa kqenye tamasha la ccm ugolo mtupu.
 
Kuna mwingine anaitwa sijui LavaLava, yeye ndo kabisaa kama mtoto wa kike, na mwingine Rayvanny, uanaume hakuna kabisa ndani yao hawa watoto, wana pigo za kike, hao huku Chugga hatuwataki, waendelee kubak huko huko Dar
 
Kwanini akiwa anaimba unapenda kumuangalia machoni?
 
Bora Aslay kuna yule muimba Gospel anaitwa GodluckGozbert.Yaliyomo yamo.
 
Hawa vijana ni wa kuwaonea huruma na kuwaombea....wanalishwa nyama sio poa na hawana namna imekuwa sehemu ya harakati zao za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…