GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anatoa burudani kwa Mkuu wa nchi, huoni ni fahari sana?
Wewe mwenyewe kwa nini unamuongelea JPM kila siku na saa huku ukiwa kama umeandaliwa ukawa tayari?Kwani huko Kwingine ambako huwa anatoa Burudani hiyo hiyo ila anakuwa ' hachangamki ' kama awapo mbele ya JPM huwa anawatolea Nguruwe na Fisi?
Wewe mwenyewe kwa nini unamuongelea JPM kila siku na saa huku ukiwa kama umeandaliwa ukawa tayari?
Huko kwingine nako anakuwa mbele ya mkuu wa nchi? Mbona swali lako kimsingi halina mantiki? thought ya primary schools hiiKwani huko Kwingine ambako huwa anatoa Burudani hiyo hiyo ila anakuwa ' hachangamki ' kama awapo mbele ya JPM huwa anawatolea Nguruwe na Fisi?
Huko kwingine nako anakuwa mbele ya mkuu wa nchi? Mbona swali lako kimsingi halina mantiki? thought ya primary schools hii
Swali lenyewe ulilouliza ni illogical, kwani wewe unahudhuria show zoote za huyo kijana? au huna hoja leo umeamua kutoa ushuzi?Swali lako lina any ' logical connection ' na nilichokiuliza?
Sasa mkuu unaposhindwa kutofautisha kati ya kuimba mbele ya mkuu wa nchi na sehem zinginezo huon kwamba unatushangaza? Kimsingi sihitaji ligi Maana wewe kutukana members huku unaona ndio ujanjaWatoto mliotokana na Tendo la ' Zinaa ' mna taabu kama siyo matatizo sana.