Kwanini Msanii Peter Msechu akiimba mbele ya JPM huchangamka kupitiliza kuliko anapokuwa kwingineko?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu na moja kwa moja anza tu Kutiririka na Kuserereka zako.

Nawasilisha.
 
Anatoa burudani kwa Mkuu wa nchi, huoni ni fahari sana?
 
Kwani huko Kwingine ambako huwa anatoa Burudani hiyo hiyo ila anakuwa ' hachangamki ' kama awapo mbele ya JPM huwa anawatolea Nguruwe na Fisi?
 
Wewe mwenyewe kwa nini unamuongelea JPM kila siku na saa huku ukiwa kama umeandaliwa ukawa tayari?
 
Swali lako lina any ' logical connection ' na nilichokiuliza?
 
Ni namna mojawapo ya kujipendekeza, ni kama kina Jerry, Musiba na wengine, ila yeye ameona atumie njia tofauti, hata wewe una ya kwako.
 
Kwani huko Kwingine ambako huwa anatoa Burudani hiyo hiyo ila anakuwa ' hachangamki ' kama awapo mbele ya JPM huwa anawatolea Nguruwe na Fisi?
Huko kwingine nako anakuwa mbele ya mkuu wa nchi? Mbona swali lako kimsingi halina mantiki? thought ya primary schools hii
 
Watoto mliotokana na Tendo la ' Zinaa ' mna taabu kama siyo matatizo sana.
 
Swali lako lina any ' logical connection ' na nilichokiuliza?
Swali lenyewe ulilouliza ni illogical, kwani wewe unahudhuria show zoote za huyo kijana? au huna hoja leo umeamua kutoa ushuzi?
 
Watoto mliotokana na Tendo la ' Zinaa ' mna taabu kama siyo matatizo sana.
Sasa mkuu unaposhindwa kutofautisha kati ya kuimba mbele ya mkuu wa nchi na sehem zinginezo huon kwamba unatushangaza? Kimsingi sihitaji ligi Maana wewe kutukana members huku unaona ndio ujanja
 
Back
Top Bottom