Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

Kuna tatizo, MO ana maji ya kunywa iweje Manara atangaze maji ya Azam?
 
Mo ana product ya maji na iko kwenye uzamini wa Simba na Azam ana maji ya uhai, Manara anatangaza maji ya Uhai hii ni kosa
 
We jamaa acha hayo mambo...Manara hana kosa lolote sio kazi yake kutangaza bidhaa za Mo.
Maji ya MO ni wazamini wa Simba iweje Manara akatangaze maji ya Uhai?
 
Hivi unaweza kunieleza nazi zinazotengenezwa na Simba SC zinaitwaje?!
Nenda kwenye account ya Manara kuna product kama Maji ya Uhai anayanadi sana, MO ana maji pia ya Uhai
 
Mbona mechi za Simba na Yanga zinaonyeshwa na hao hao Azam?

Hata kama mnamchukia Manara, leteni hoja sio viroja
Tofautisha kurusha mechi na kutangaza product
 
Mkuu Maji ya Mo si ni moja ya Wazamini wa Simba? Masafi? Whay Manara atangaze maji ya Uhai?
 
Maji ya Uhai wana compete na maji ya Masafi ya Mo, Manara anawezaje kutangaza maji ya Uhai?
 
Wewe, hebu kaajiriwe Vodacom then kapige picha na wafanya kazi wa Tigo uone. Manara anatanga Maji ya Uhai wakati maji ya Mo wanawafadhili Simba, Biashara inakuwaje hapo?
 
Sasa mbona iyo unayosema akaunt yake binafs anaitumia kutangaza mambo ya simba
 
Kuna majibu humu naona kabisa ni ya yule jamaa kabisaa[emoji23]
 
Ata kama ila sio vzur anachofanya ni bora angekua baloz wa bidhaa za mo ,ni sawa bumbul au nugaz leo waanze kutangaza bidhaa nyngne mfano magodoro dodoma au unazan itakuaje
 
Hapo chacha!!! Hiyo nayo ni another strong point; Haji ni Msemaji/Mwajiriwa wa Simba na sio wa Mo!! Na isitoshe, Haji anatangaza bidhaa za Azam na sio za Azam FC!
Hivi haji leo atajisikiaje au ataelewa vip ikitokea mo kila siku anamsifia msemaj wa timu nyngne mfano masau au bumbuli
 
100%
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna watu mawazo mgango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…