Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

Wewe ndo unaona ni tatizo lakini mwajiri wake hajaona hilo tatizo kwa sababu wanajua hakuna tatizo!!! Hivi kwa ufahamu wako, leo hii Mo Dewji amiliki TV Stations unaamini hatatangaza bidhaa za Yanga?! Au unataka kusema Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Kuna tatizo, MO ana maji ya kunywa iweje Manara atangaze maji ya Azam?
 
Kwanza, tofautisheni kati ya Kampuni ya Azam na Azam FC!! Pili, tofautisheni kati ya Simba FC na Mohamed Enterprises. Tatu, kwa mfano wa Mbowe ungeuliza "Ina maana Mbowe hawezi kutangaza bidhaa za Magufuli Engineering Company Ltd" assuming Magu angekuwa na hiyo kampuni?! Nne, nijibuni swali langu kwamba: Ina maana Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Mo ana product ya maji na iko kwenye uzamini wa Simba na Azam ana maji ya uhai, Manara anatangaza maji ya Uhai hii ni kosa
 
We jamaa acha hayo mambo...Manara hana kosa lolote sio kazi yake kutangaza bidhaa za Mo.
Maji ya MO ni wazamini wa Simba iweje Manara akatangaze maji ya Uhai?
 
Hivi unaweza kunieleza nazi zinazotengenezwa na Simba SC zinaitwaje?!
Nenda kwenye account ya Manara kuna product kama Maji ya Uhai anayanadi sana, MO ana maji pia ya Uhai
 
Mbona mechi za Simba na Yanga zinaonyeshwa na hao hao Azam?

Hata kama mnamchukia Manara, leteni hoja sio viroja
Tofautisha kurusha mechi na kutangaza product
 
Hoja yako ya fremu ni irrelevant na ndio maana nikakuambia tofautisha kati ya Azam na Azam FC!! Wewe umehoji ikiwa Yanga (timu) inaweza kupanga fremu za Simba ( mali ya timu) wakati hapa ni Haji kutangaza biashara za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na ndio maana nikakuambia tofautisha kati METL na Simba FC kwa sababu Mshindani wa Azam (kampuni) ni METL na sio Simba FC; na huyo Manara ni Mwajiriwa wa Simba na sio Mwajiriwa wa METL!!

Tatizo lenu mnachukulia Simba na Mohamed Enterprises ni kitu kimoja wakati sio!!!
Mkuu Maji ya Mo si ni moja ya Wazamini wa Simba? Masafi? Whay Manara atangaze maji ya Uhai?
 
Sasa kwani Azam ni mpinzani wa Simba au wa Mohamed Enterprises?! Mbona mnachanganya mambo?! Mpinzani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam!!! Na Mpinzani wa Azam ni Mohamed Enterprises na sio Simba SC!!! Na Mwajiri wa Manara ni Simba na sio Mohamed Enterprises!!
Maji ya Uhai wana compete na maji ya Masafi ya Mo, Manara anawezaje kutangaza maji ya Uhai?
 
Tofautisha vitu hivi 4

Simba SC v/s MoTEL Company

Azam FC v/s Azam Company

TANZANIA:
Manara ni Mwajiriwa wa Simba SC na wala sio mwajiriwa wa MoTEL Company, hivyo ili alitangazie bidhaa MoTEL Company ni lazima iingie mkataba na imlipe. Hawezi kuitabgazia bidhaa zake kwasababu tu mmiliki wake ni Bosi wa Simba SC.

Manara haitangazi AZAM FC bali anatangaza bidhaa za AZAM Company Ltd kwa kuingia nao Mkataba na Wanamlipa.

ULAYA:
Mmiliki wa Timu ya Liverpool ni FSG ambayo ni kampuni ya kibiashara ya Vifaa vya Michezo, lakini sijawahi kumuona MO SALAH akitangaza bidhaa za Kampuni hii, bali anatangaza bidhaa za NIKE ambazo ameingia nazo mkataba yeye mwenyewe binafsi kama Manara alivyoingia mkataba binafsi na Kampuni ya AZAM Company Ltd.
Je MO SALAH afukuzwe Liverpool?

Halafu huu ujuaji wenu wa kusema kitu fulani Ulaya hakipo kwasababu tu hukijui wewe munatia aibu kiukweli.
Wewe, hebu kaajiriwe Vodacom then kapige picha na wafanya kazi wa Tigo uone. Manara anatanga Maji ya Uhai wakati maji ya Mo wanawafadhili Simba, Biashara inakuwaje hapo?
 
Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!

Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC! Na pia kuna Simba SC na Mohamed Enterprises!!Nazi ni za Azam (kampuni) na sio za Azam FC!! Mshindani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam Kampuni! Na Mshindani wa Mohamed Enterprises sio Azam FC bali Azam Kampuni!!
Sasa mbona iyo unayosema akaunt yake binafs anaitumia kutangaza mambo ya simba
 
Kuna majibu humu naona kabisa ni ya yule jamaa kabisaa[emoji23]
 
Bosi wa Haji Manara ni Simba na sio Mo Dewji au METL!! Club ya Simba haina biashara ya nazi!! Isitoshe, Manara anatangaza nazi za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na mambo yangekuwa yanaendeshwa kama mnavyotaka, basi hiyo Simba isingetangazwa kabisa pale Azam TV!!!
Ata kama ila sio vzur anachofanya ni bora angekua baloz wa bidhaa za mo ,ni sawa bumbul au nugaz leo waanze kutangaza bidhaa nyngne mfano magodoro dodoma au unazan itakuaje
 
Hapo chacha!!! Hiyo nayo ni another strong point; Haji ni Msemaji/Mwajiriwa wa Simba na sio wa Mo!! Na isitoshe, Haji anatangaza bidhaa za Azam na sio za Azam FC!
Hivi haji leo atajisikiaje au ataelewa vip ikitokea mo kila siku anamsifia msemaj wa timu nyngne mfano masau au bumbuli
 
Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!

Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC! Na pia kuna Simba SC na Mohamed Enterprises!!Nazi ni za Azam (kampuni) na sio za Azam FC!! Mshindani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam Kampuni! Na Mshindani wa Mohamed Enterprises sio Azam FC bali Azam Kampuni!!
100%
 
Hoja yako ya fremu ni irrelevant na ndio maana nikakuambia tofautisha kati ya Azam na Azam FC!! Wewe umehoji ikiwa Yanga (timu) inaweza kupanga fremu za Simba ( mali ya timu) wakati hapa ni Haji kutangaza biashara za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na ndio maana nikakuambia tofautisha kati METL na Simba FC kwa sababu Mshindani wa Azam (kampuni) ni METL na sio Simba FC; na huyo Manara ni Mwajiriwa wa Simba na sio Mwajiriwa wa METL!!

Tatizo lenu mnachukulia Simba na Mohamed Enterprises ni kitu kimoja wakati sio!!!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tofautisha vitu hivi 4

Simba SC v/s MoTEL Company

Azam FC v/s Azam Company

TANZANIA:
Manara ni Mwajiriwa wa Simba SC na wala sio mwajiriwa wa MoTEL Company, hivyo ili alitangazie bidhaa MoTEL Company ni lazima iingie mkataba na imlipe. Hawezi kuitabgazia bidhaa zake kwasababu tu mmiliki wake ni Bosi wa Simba SC.

Manara haitangazi AZAM FC bali anatangaza bidhaa za AZAM Company Ltd kwa kuingia nao Mkataba na Wanamlipa.

ULAYA:
Mmiliki wa Timu ya Liverpool ni FSG ambayo ni kampuni ya kibiashara ya Vifaa vya Michezo, lakini sijawahi kumuona MO SALAH akitangaza bidhaa za Kampuni hii, bali anatangaza bidhaa za NIKE ambazo ameingia nazo mkataba yeye mwenyewe binafsi kama Manara alivyoingia mkataba binafsi na Kampuni ya AZAM Company Ltd.
Je MO SALAH afukuzwe Liverpool?

Halafu huu ujuaji wenu wa kusema kitu fulani Ulaya hakipo kwasababu tu hukijui wewe munatia aibu kiukweli.
Kuna watu mawazo mgango
 
Back
Top Bottom