denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Kuna tatizo, MO ana maji ya kunywa iweje Manara atangaze maji ya Azam?
Nilishaachana nao kitambo!!Mzee utakauka koo bure
Unajuaje kama Manara amehamia Azam FCKuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
Kha!!! Nyinyi watu nyinyi! Kwahiyo kumbe hata Mo hatakiwi kumsifia Msemaji wa Timu nyingine?! Hivi hapa nabishana na Simba au na Vyura wa Utopoloni?!Hivi haji leo atajisikiaje au ataelewa vip ikitokea mo kila siku anamsifia msemaj wa timu nyngne mfano masau au bumbuli
Sasa kwanini wasitangaze?! Kwani hao akina Nugaz ni waajiriwa GSM?!Ata kama ila sio vzur anachofanya ni bora angekua baloz wa bidhaa za mo ,ni sawa bumbul au nugaz leo waanze kutangaza bidhaa nyngne mfano magodoro dodoma au unazan itakuaje
Ndo uzuri wa kumiliki kitu huo! Ni akaunti yake binafsi na ndo maana pia anaitumia kutangaza habari za Simba kwa mapenzi yake lakini HALAZIMIKI kuitumia kutangaza habari za Simba, na ndio maana pia 👇👇👇Sasa mbona iyo unayosema akaunt yake binafs anaitumia kutangaza mambo ya simba
Sasa Haji ana uhusiano gani na maji ya Masafi hadi ashindwe kutangaza maji ya Uhai?!! Hivi mnajisikiaje mnavyodhani mna uchungu sana na biashara za Mo Dewji kuiliko hata Mo mwenyewe?! Yaani mnaumia Haji kutangaza bidhaa za Azam kuliko hata anavyoumia Bababra?!Maji ya Uhai wana compete na maji ya Masafi ya Mo, Manara anawezaje kutangaza maji ya Uhai?
Nenda kwenye account ya Manara kuna product kama Maji ya Uhai anayanadi sana, MO ana maji pia ya Uhai
Ndo hapo jiulizeni sasa! How come mnaumia nyie badala ya Mo mwenyewe?! Au hayo maji kaanza kuyatangaza sasa?!Mkuu Maji ya Mo si ni moja ya Wazamini wa Simba? Masafi? Whay Manara atangaze maji ya Uhai?
Hapa ndio unazungumzia Conflict of interest halisi.Hili liko wazi.Kwa Kesi ya Haji, Azam Nazi sio mpinzani wa Simba Sports Club.Hivyo hakuna Conflicts of Interest.Haji ni Balozi wa Azam.Haji atatangaza bidhaa zote za Azam lakini hatotangaza Azam FC kwa vile Azam FC ni mpinzani wa Simba Sports Kibiashara.
Azam TV anatangaza Matangazo ya Simba, lakini Simba ni mpinzani wa Azam FC, na Mmiliki wa Azam FC na Azam TV ni Mmoja, hakuna shida sababu Azam TV sio Mshindani wa Simba Sports Club
Kha!!! Nyinyi watu nyinyi! Kwahiyo kumbe hata Mo hatakiwi kumsifia Msemaji wa Timu nyingine?! Hivi hapa nabishana na Simba au na Vyura wa Utopoloni?!
Na nyongeza kama Haji anahujumu timu yenu basi pia ombeni mechi zenu zisioneshwe na Azam Tv maana uwa wanakaa na viongozi wenu kukubaliana wataihujumu timu yenu
Punguza ujuaji ndugu...mbona hata mbele kina Rinaldo na messi unakuta wanaingia mikataba binafsi na makampuni ambayo hata hayasupport timu kama Nike,adidas etcKwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.
Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?
Kwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.
Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?
Hivi muheshimiwa mbowe anaweza kutangaza kofia na mashati ya ccm ?
Halafu ikajengwa hoja ya kumtenganisha mbowe na chadema?
Kwanini watanzania tunakubali kufanywa wapuuzi kwa hoja za kipuuzi?
Hivi manara popote pale utamtambulisha kama msemaji wa simba,,?
Au utamtambulisha kama nani?
Hapo mwambieni kakosea,,,angeweza kutangaza zingine na sio brand za watu ambao wapo kwenye ligi moja.
Kumbuka azam pia ni brand.
We jamaa yani uko mweupe halafu hujui kuwa uko mweupe.Hao wote wanalipwa na nani?