Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

Kwanini msemaji wa Club ya Simba anatangaza bidhaa za pinzani kibiashara? Inawezekana vipi?

Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!

Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC! Na pia kuna Simba SC na Mohamed Enterprises!!Nazi ni za Azam (kampuni) na sio za Azam FC!! Mshindani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam Kampuni! Na Mshindani wa Mohamed Enterprises sio Azam FC bali Azam Kampuni!!
Nyumba ndogo ruksa.

On a serious note, tusisahau kuwa Mbumbumbu FC na Azam wana undugu fulani japo si wazi sana (ni kama ule wa Vyura FC na Singida).
 
Nyumba ndogo ruksa.

On a serious note, tusisahau kuwa Mbumbumbu FC na Azam wana undugu fulani japo si wazi sana (ni kama ule wa Vyura FC na Singida).
Na kwa wafuatiliaji wa soka la TZ, undugu huu unafahamika kabisa manake nasikia Mzee Bakhresa miaka ya nyuma alishawahi kuwa Mweka Hazina wa Msimbazi!
 
Nyumba ndogo ruksa.

On a serious note, tusisahau kuwa Mbumbumbu FC na Azam wana undugu fulani japo si wazi sana (ni kama ule wa Vyura FC na Singida).
Na ukumbuke pia Bakhresa mpaka anaenda kuanzisha Azam FC ni baada ya kutoka Simba na kuona hela zinaliwa tu haoni cha maana akaenda kuanza from scratch na kaisimamisha imefikia hapo. Ni kama tu tapeli wa 20 biruwon alivyoenda kuanzisha African Lyon( kwa kununua timu) ila ikamshinda naona karudi.

Simba,coastal union na Azam FC ni kweli kuna undugu wa kimya kimya
 
Manara ameshachokwa hapo simba na yeye kuna vitu amevichoka pia....shida ni kwamba akitoka hapo hawezi kuapata kazi ya usemaji kwa sababu yeye ameshjibainisha si msemaji tuu bali mpenzi, mshabiki na mfukutwa wa simba na kazi yake hajaipata kwa sababu ya weledi hasha ila kwa sabbu kwanza ni mnazi wa simba hivyo hawezi kupata au kufanya kazi yyte ya kimichezo nje ya simba....
Mo kumuondoa anamvuti kasi akitafakari reaction ya wanasimba lialia itakuwaje.....muda utaaamua.....
Acheni wivu, wewe unajua mkataba wake na Simba ukoje? Umeambiwa asitangaze bidhaa zozote za Azam? Mnapenda Sana kuingilia maisha binafsi ya watu. Yeye anatengeneza pesa nyie mnakaa kupiga majungu.... Wewe kazi yako Kama shabiki no kushangilia na kuzomea Basi, Mambo binafsi ya watu achana nayo hayakuhusu.. Kwani akifukuzwa hapo Simba Kama unavoombea iwe, wewe utapewa hiyo nafasi yake?
 
Kwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.

Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?

Ni hujuma Sana tena iko wazi, ataanzaje kutangaza bidhaa za jirani wakati boss wake nae anabidhaa kama izzo, bidhaa za boss wake zisipo toka atawalipa Nini.?

Hata ukiwa mfanyakazi wa Pepsi , hafu ukapiga picha unakunywa kokakola unafukuzwa kazi, au tbl hafu ukapiga picha na Serengeti lite

Kwani Simba SC ni kiwanda cha kuzalisha bidhaa kama juisi nk?
 
Acheni wivu, wewe unajua mkataba wake na Simba ukoje? Umeambiwa asitangaze bidhaa zozote za Azam? Mnapenda Sana kuingilia maisha binafsi ya watu. Yeye anatengeneza pesa nyie mnakaa kupiga majungu.... Wewe kazi yako Kama shabiki no kushangilia na kuzomea Basi, Mambo binafsi ya watu achana nayo hayakuhusu.. Kwani akifukuzwa hapo Simba Kama unavoombea iwe, wewe utapewa hiyo nafasi yake?
Umeandika kwa hisia sana mzee vipi kwani
 
Wewe ni mpumbavu Sana ndio mnafanya wasomi waonekane ni wajinga.

Hujui Kama MO dewiji pia kupitia bidhaa zake anaidhamini Simba kwa hizo bidhaa? Huoni Kama msemaji kupromoti baadhi ya bidhaa ambazo Mdhamini wake pia anaidhamini Simba kunatokea mgongano wa kimaslah

Mkuu unasemaje kuhusu Azam Sports Federation Cup?
Hakuna mgogoro wa kimaslahi hapo?
Kwamba SSC inakwenda kushiriki maahindano yanayoitangaza Azam “mshindani” wake?

Kuna timu zina dhaminiwa na Nike halafu wachezaji wake wanadhaminiwa na Puma, Adidas nk, unalizungumziaje hili?

Nifafanulie tu na mimi ni jue mkuu
 
Back
Top Bottom