Kwanini Mshika Kibendera alinyoosha kibendera kuashiria kuotea kwa Wachezaji wa simba wakati huo Refa akasema ni goal kick?

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick.

Ni Maana Yake Au Tafsiri yake?

Ina Maana Pale Kanoute Angefunga Refa Angesema Sio goli kwa Kufuata Muongozo wa Mshika Kibendera!

Wakati Shuti limepigwa Kipa Katema Mshambuliani kaja Kumalizia Mshika Kibendera ananyoosha kuwa Kulikuwa na Kuotea.

Hii ni Hatari sana Sio ya Kunyamazia kabisa!

Hata Kama Goli Halikuingia Inafikirisha na Kuona Mpango/Mapenzi fulani!

Likemewe/Mshika Kibendera Akemewe! Ndio akemewe ndio maana Refa akaweka Free kick ila ingekuwa goli na Kibendera kimesimama duu. Ndio Maana Nasema Akemewe maamuzi yalitofautiana
 
Huu utunzi wako na wabovu wenzio wanakuunga mkono unakusaidia nini. Tukio la Kanoute kupiga kick kipa akablock na kisha Boko kupiga nje liliamriwa goal kick na kibendera na mwamuzi. Au kuna tukio lingine la Kanoute zaidi ya hilo?
 
Kuna mashabiki wengi nimeona wanalalamika eti wamenyimwa goli. Yaani akili yao inafikiria kuwa ule mpira uliingia wavuni kisha refa akalikataa goli. Wakati mpira ulienda nje umegonga nyavu ya nje
 
Jamaa aliyewaita mbumbumbu fc hakukosea, mwamuzi msaidi hakuonyesha offside, Alichofanya alikimbia mbaka mwisho wa uwanja (kwenye kibendera Cha Kona) na kuonyesha ishara ya Gool kick. Kama ingekua ameonyesha Offside asinge shusha kibendera Wala asinge kimbia mbaka mwisho wa mstari, Muda wote wa move kibendera kilikua chini. Mjifunze Sheria za soka kabla ya kulaumu waamuzi.
 
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick....
Ni Maana Yake Au Tafsiri yake....
Ina Maana Pale Kanoute Angefunga Refa Angesema Sio goli kwa Kufuata Muongozo wa Mshika Kibendera!
Wakati ShutiKimepigwa Kipa Katema Mshambuliani kaja Kumalizia Mshika Kibdendera ananyoosha kuwa Kulikuwa na Kuotea....
Hii ni Hatari sana Sio ya Kunyamazia kabisa!
Hata Kama Goli Halikuingia Ina Inafikirisha na Kuona Mpango/Mapenzi fulani!
Likemewe/Mshika Kibendera Akemewe!Ndio akemewe ndio maana Refa akaweka Free kick ila ingekuwa goli na Kibendera kimesimama duu...Ndio Maana Nasema Akemewe maamuzi yalitofautiana
Line 1 alinyoosha kuashiria goal kick sio offside, kama hujui boli ziue.
 
Jamaa aliyewaita mbumbumbu fc hakukosea, mwamuzi msaidi hakuonyesha offside, Alichofanya alikimbia mbaka mwisho wa uwanja (kwenye kibendera Cha Kona) na kuonyesha ishara ya Gool kick. Kama ingekua ameonyesha Offside asinge shusha kibendera Wala asinge kimbia mbaka mwisho wa mstari, Muda wote wa move kibendera kilikua chini. Mjifunze Sheria za soka kabla ya kulaumu waamuzi.
Hawa ndo hua wanarusha ngumi kwenye vibanda umiza hata hawaelewi sheria za mpira
 
Kuna mashabiki wengi nimeona wanalalamika eti wamenyimwa goli. Yaani akili yao inafikiria kuwa ule mpira uliingia wavuni kisha refa akalikataa goli. Wakati mpira ulienda nje umegonga nyavu ya nje

Mkuu kuwa Mkweli na Muungwana...Ni Kweli Mpira ulienda Nje ila Ninachojiuljza Hata Kabla Hajapiga Mshika Kibendera alishanyoosha Kibendera akuongesha Wachezaji wa Simba Wameotea...
Pamoja Na Kipa Kutema halafu mchezaji akaja Kuumalizia..Mahika Kibendera akaona nibOffside...
Lakini Azam TV wakaonyesha Namna Ambavyo Haikuwa Offside kwa Maana Kabla Ya Kipa Kupigiwa Shuti!
 
Line 1 alinyoosha kuashiria goal kick sio offside, kama hujui boli ziue.

Sawa...
Ila Mkuu Samahani Kwanini Unejiita “Churaa”
Either unakaa kwenye Maji sana Au Una “Chura”[emoji3516][emoji30][emoji30]
Cc: Behaviourist
 
Mkuu kuwa Mkweli na Muungwana...Ni Kweli Mpira ulienda Nje ila Ninachojiuljza Hata Kabla Hajapiga Mshika Kibendera alishanyoosha Kibendera akuongesha Wachezaji wa Simba Wameotea...
Pamoja Na Kipa Kutema halafu mchezaji akaja Kuumalizia..Mahika Kibendera akaona nibOffside...
Lakini Azam TV wakaonyesha Namna Ambavyo Haikuwa Offside kwa Maana Kabla Ya Kipa Kupigiwa Shuti!
Tujifunze sheria za mpira. Offside mshika kibendera unyoosha juu na usimama eneo lile lile baada ya tukio. Goalkick ukimbia mpaka kwenye kona na kunyoosha kibendera kwa mlalo.
 
Alafu na nyie mnapataga wapi muda wa kuwajibu watu Kama awa? Mtu mpira kaujulia ukubwani sembuse izo sheria, na unakuta bado amekomaa tu na hoja yake isiyokuwa na kichwa wala miguu, mwamuzi wa pembeni kaonyesha goal kick yeye uyu sijui alikuwa na tv yake nyingine uko vichakani anakuja na ngonjera zake kumlalamikia mwamuzi kuwa alionyesha offside!!!
 
Sawa...
Ila Mkuu Samahani Kwanini Unejiita “Churaa”
Either unakaa kwenye Maji sana Au Una “Chura”[emoji3516][emoji30][emoji30]
Cc: Behaviourist
Chura mwenyewe ndiye huyu hapa👇😁😁😁
162005.jpg
 
Back
Top Bottom