Kwanini msichana akifikisha miaka 27 kama hajaolewa anapenda kujipiga picha na kujiweka kwenye mitandao?

Make sure your unshakable.

Hakikisha wanapopost makalio yao, kukaa nusu uchi hautikiswi wala kutikisika.
You are unshakable
Sio your unshakable.
Nimeona wengi wanashindwa kutofautisha haya maneno mawili,unakuta kibao cha shule kimeandikwa "your welcome) halafu ni english medium school.
 
Mkuu wewe umenena kweli kabisa yaani hawa wakina Dada miakq 27 na kuendelea huwa wanapitia maumivu makali Sana ya kihisia, na wanakuwa wameshajikatia tamaa ya kuolewa na ndio maana huwa wanajilengesha tu kwenye status za mitandao ya kijamii akija mtu wa kunioa aje asipokuja nazidi kuongeza kasi ya kujipost. Mungu awasaidie kwa kweli
 
Nadhani hiyo ni kwa wanawake wasiojitambua. Wanawake wanaojitambua na wanaohitaji ndoa kweli hawawezi fanya huo ujinga. Pia sidhani kama kuna wanaume timamu watapenda kuoa wanawake wanaojitandaza kwa mitandao.
 
Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social media
 
Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social media
Kuna umri ukifika kuna hobby ukiziendekeza unaonekana haujakua. Mfano mbaba wa miaka 50 kwenda club imekaaje hiyo kwako? [emoji848]
 
Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social media
Hio sio hobby ni ndoano atakayenasa ndio naishi naye.
 
Picha ya hao wa 27
 
Mnavyomind kama mngewaoa vile wangewakubali wakiwa 24, kumbe nanyi mlitaka mkaze mtembee.

Mimi niliowatongoza wakanikwepa heri yao, maana ningepiga na kupita hivi.
 
Mpaka sasa Wadada walioko 27+ wamejitokeza wachache sana kwenye huu uzi hebu njooni mtueleze ni kwanini mnapenda kujipost sana hasa kwenye status za whatsapp na kule tiktok?
 
Huu ulifanyia wapi na data ziko wapi ?
Umesoma vizuri huu uzi?
Utafiti niliufanya kupitia whatsapp yangu mwenyewe na hao mabinti wa hiyo miaka nina contacts zao zaidi ya 239 na kati ya hao 192 ndio wanachokipost kwenye status zao na ndio maana nilianzisha huu uzi kujua ni kwanini huwa wanafanya vile. Yawezekana wengine wamo humu lakini ishu kubwa ni I'd zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…