kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ukitaka kuuza kitu unakiweka kwenye mtandao ili kionekane na wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are unshakableMake sure your unshakable.
Hakikisha wanapopost makalio yao, kukaa nusu uchi hautikiswi wala kutikisika.
Mkuu wewe umenena kweli kabisa yaani hawa wakina Dada miakq 27 na kuendelea huwa wanapitia maumivu makali Sana ya kihisia, na wanakuwa wameshajikatia tamaa ya kuolewa na ndio maana huwa wanajilengesha tu kwenye status za mitandao ya kijamii akija mtu wa kunioa aje asipokuja nazidi kuongeza kasi ya kujipost. Mungu awasaidie kwa kweliUmeshanotice kuwa mwanamke akishaanza kutulia kimaisha na mahusiano hata kupost mitandaoni anapunguza sana. Ni kwasababu anakuwa hana shida ya attention ya wanaume tena ameridhika na attention ya mwanaume wake.
Sababu nyingine ni mwanamke akihisi amebadilika muonekano yaani mfano kuwa mnene kupitiliza huwa anapunguza au kuacha kujipost au akipost basi picha zinakuwa na edits sana.
So at 27 anakuwa anamalizia usichana anajua kuwa ameshaanza kuumaliza mwendo eneo la mahusiano so anaanza kumalizia tonge la mwisho kabla hajawa msimbe kamili ambaye akipost likes zinakuwa za wazee wastaafu, na walugaluga wengineo.
Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social mediaKuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa.
Moja ya sababu inaweza kuwa ni
[emoji7]njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia.
Pia, kwa kuwa jamii inaweza kuwa na matarajio makubwa kwa wanawake kufikisha umri fulani bila kuolewa, kujipiga picha na kuweka mitandaoni inaweza kuwa njia ya kujionyesha kuwa bado ana furaha na maisha yake.
Mwenyezi Mungu awasaidie sana Dada zetu wenye umri wa kuolewa wapate Wanaume wa kuwapa ili kuwaondolea ile hali ya kujipost mitandaoni hasa Facebook /Insta Story na WhatsApp status. [emoji120]
Kuna umri ukifika kuna hobby ukiziendekeza unaonekana haujakua. Mfano mbaba wa miaka 50 kwenda club imekaaje hiyo kwako? [emoji848]Kwaiyo akifika 27 and above akijipiga picha maana ake anatafuta kuonekana. Je kama anapenda picha tu au hobby yake ni social media
Picha ya hao wa 27Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa.
Moja ya sababu inaweza kuwa ni
😍njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia.
Pia, kwa kuwa jamii inaweza kuwa na matarajio makubwa kwa wanawake kufikisha umri fulani bila kuolewa, kujipiga picha na kuweka mitandaoni inaweza kuwa njia ya kujionyesha kuwa bado ana furaha na maisha yake.
Mwenyezi Mungu awasaidie sana Dada zetu wenye umri wa kuolewa wapate Wanaume wa kuwapa ili kuwaondolea ile hali ya kujipost mitandaoni hasa Facebook /Insta Story na WhatsApp status. 🙏
###pengineSijawahi kufanya hiyo tafiti kwa mabinti umri huo...
Humu hamna tuone picha zao?
###pengineSijawahi kufanya hiyo tafiti kwa mabinti umri huo...
Humu hamna tuone picha zao?
Umesoma vizuri huu uzi?Huu ulifanyia wapi na data ziko wapi ?