Kwanini Msigwa roho inamuuma Wananchi kuchangia ToneTone ya CHADEMA, wakati CCM ilichangiwa Tsh. Bil 86.3 na hakusema chochote?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote.

Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo wamepotezwa?

1784872012754.png
Je, wakati ule waliotoa mabilioni kwa CCM hawakupaswa kuambiwa waende wakalime, wafuge au wafanye biashara kwanza? Au ushauri huo unawahusu wanaochangia CHADEMA pekee?

Soma: Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

Uhuru wa kuchangia chama cha siasa haupaswi kupimwa kwa rangi ya chama. Kama ni sahihi kwa CCM kupokea michango ya hiari, basi iwe sahihi pia kwa CHADEMA. Kama si sahihi, basi iwe si sahihi kwa wote.

Kama wanaotoa hawadhuriki wala hawalalamiki hakuna shida. Na nani kaenda kulalamika kwake…?😅

1784872196671.png
 
Heri Chadema wanaochangiwa na wananchi Kwa moyo wa kupenda
Kuliko mifisadi inayofisadi nchi na hakuna chochote inafanywa.
 
Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote.

Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo wamepotezwa?

Je, wakati ule waliotoa mabilioni kwa CCM hawakupaswa kuambiwa waende wakalime, wafuge au wafanye biashara kwanza? Au ushauri huo unawahusu wanaochangia CHADEMA pekee?

Soma: Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

Uhuru wa kuchangia chama cha siasa haupaswi kupimwa kwa rangi ya chama. Kama ni sahihi kwa CCM kupokea michango ya hiari, basi iwe sahihi pia kwa CHADEMA. Kama si sahihi, basi iwe si sahihi kwa wote.

Kama wanaotoa hawadhuriki wala hawalalamiki hakuna shida. Na nani kaenda kulalamika kwake…?😅

Pesa za Amani hizi zina Raha take hata kama ni ndogo
 
Tayari mbona..Wasira anasema palikuwa na vurugu kidogo tu,tena usiku....Mchana hali ilikuwa shwari na watu walipiga kura kwa Amani kabisaaa..
Yeye alipiga kura Bunda na akasafiri kuja Mwanza kula bata

CCM wanajisahau sana ndio maana leo ukiwahoji yaliyotokea October 29 na utekaji wanaweza kukwambia hayapo na wala hayajatokea.
 
Back
Top Bottom