Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Toa risit tujuwe sio kuongea kama juma lukoleIla muda mwingine nahisi mimi kama nimerogwa na CHADEMA maana najua Heche anakula pesa za michango lakini jana nimechangia laki tatu.
Chawa Wamekuja na staili mpya ya kujidai wako neutral ila wanapiga jiwe chadema.Toa risit tujuwe sio kuongea kama juma lukole
Dawa yao ni hiyo hiyo, ni mwendo wa kugusa kitufe tu.Chawa Wamekuja na staili mpya ya kujidai wako neutral ila wanapiga jiwe chadema.
Naona kitufe cha ignore kimeanza kuzaa matunda.
Hata huyu ***** wakujiita Waufukweni ,pigeni block hii mbwaDawa yao ni hiyo hiyo, ni mwendo wa kugusa kitufe tu.
Wabaki wanajibizana wao kwa wao kwenye nyuzi zao tu.
Heri Chadema wanaochangiwa na wananchi Kwa moyo wa kupendaKama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote.
Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo wamepotezwa?
Je, wakati ule waliotoa mabilioni kwa CCM hawakupaswa kuambiwa waende wakalime, wafuge au wafanye biashara kwanza? Au ushauri huo unawahusu wanaochangia CHADEMA pekee?
Soma: Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
Uhuru wa kuchangia chama cha siasa haupaswi kupimwa kwa rangi ya chama. Kama ni sahihi kwa CCM kupokea michango ya hiari, basi iwe sahihi pia kwa CHADEMA. Kama si sahihi, basi iwe si sahihi kwa wote.
Kama wanaotoa hawadhuriki wala hawalalamiki hakuna shida. Na nani kaenda kulalamika kwake…?😅
Risiti ya nini?Toa risit tujuwe sio kuongea kama juma lukole
Pesa za Amani hizi zina Raha take hata kama ni ndogoKama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote.
Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo wamepotezwa?
Je, wakati ule waliotoa mabilioni kwa CCM hawakupaswa kuambiwa waende wakalime, wafuge au wafanye biashara kwanza? Au ushauri huo unawahusu wanaochangia CHADEMA pekee?
Soma: Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
Uhuru wa kuchangia chama cha siasa haupaswi kupimwa kwa rangi ya chama. Kama ni sahihi kwa CCM kupokea michango ya hiari, basi iwe sahihi pia kwa CHADEMA. Kama si sahihi, basi iwe si sahihi kwa wote.
Kama wanaotoa hawadhuriki wala hawalalamiki hakuna shida. Na nani kaenda kulalamika kwake…?😅
CCM wanajisahau sana ndio maana leo ukiwahoji yaliyotokea October 29 na utekaji wanaweza kukwambia hayapo na wala hayajatokea.
Panzi za namna hii hazijawahi baki salama kwangu. Hii ni Reply ya mwisho kwangu kwenye nyuzi zake.Hata huyu ***** wakujiita Waufukweni ,pigeni block hii mbwa