Kwanini Mtandao wa Tigo umefanya mabadiliko ya Vifurushi kimyakimya?

Kwanini Mtandao wa Tigo umefanya mabadiliko ya Vifurushi kimyakimya?

Uhumbwe

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
25
Reaction score
40
Kwanini Mtandao Umefanya Mabadiliko Ya Vifurushi KimyaKimya? Mfano Sms Kwa Mwezi Ilikuwa Tshs 1000 Kwa Sms 10000 Ila Sasa Sms 10000 Kwa Tshs 1500
 
Mbona kifurushi cha halichachi kimeongezwa kutoka dakika 30 hadi 60 usemi!
 
Back
Top Bottom