Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Tumia VPN wewe kunguni maza ameshafanya yake.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale .
Ila naona unagoma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nani kakufundisha kujibu maswali kitoto kitoto hiviKifo ni kifo tu hata cha twita. Muulize bibi yako
Nimesema nipo shambaniMtoto pendwa muulize mother, si upo nae hapo white house
Kaa kwa kutulia Mzee 😀Simu aina gani? 😁
Sawa nashukuru Shemeji yangu wa pekeeUnamuuliza nani sasa......si uende ofisi za chama
Mama Yako kaifunga AKIJUA ya wapinzani tu kumbe na wewe chawa umoNdugu zangu Watanzania,
Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale .
Ila naona unagoma.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa nashukuru sanaUsitoshe we chawa,kaulizie lumumba.
Karibu...Mitano tena kwa Mama.Sawa nashukuru sana
Yaani huyu kunguni ni hopeless anauliza mtandao kwanini haufungukiUnamuuliza nani sasa......si uende ofisi za chama