Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

Tumefikiwa hadi huko Tweeter. Tuendelee kujiandaa kisaikolojia. Yajayo yanaweza kufikirisha/kuhuzunisha zaidi ya hili.
 
Waulize Chukua CHako Mapema watakuwa na majibu sahihi
 
Wee kilaza wa Samia kumbe na wewe unaathirika na ushenzi wa serikali ni Samia!
 
Wewe ng'ombe wa mama acha kudeka.
 
We hapo umekuja kuuliza kuhusu X au kum-promote mama yako? 😂
 
Mimi nilisha-uninstall X kwa sababu watu wa huko wamejaa negativity kwa kiwango cha juu sana pia hizi "connections" ndo makao makuu...
 


Watanzania.

Muwe makini sana na pahala mnapopata taarifa.

...zingine ni propaganda tu.
 
Huyu
Huyu unaye msifia Kila siku ndiye amezima twitter.Kwasababu Wakenya wanamvua nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…