Lakin hapa naona umepandwa barabarani!!!!!Hauna ukweli wowote mkuu..tatizo lililopp una mzizi mkubwa...unatakiwa kupanda 20m kutoka kwenye nyumba...la sivyo utabidua nyumba kbs baadaye!
Lakin hapa naona umepandwa barabarani!!!!!View attachment 1060043
Wanasema huleta vifo kwenye familia
Nitazingatia mkuu nimeupanda upande wa barabarani mbali na nyumbaHauna ukweli wowote mkuu..tatizo lililopp una mzizi mkubwa...unatakiwa kupanda 20m kutoka kwenye nyumba...la sivyo utabidua nyumba kbs baadaye!
Nitazingatia mkuu nimeupanda upande wa barabarani mbali na nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndie alieanzisha dhana hii nasikia wengi waliokuwa wameupanda viungani mwao wamekuwa wakiukataNi uhuni wa mchungaji njaa mmoja alisema uongo na watu wasiofikiri wakaamini!
Kiki mpk makanisani! Huu ni ushirikina tu kama wa Dokta Manyaunyau!
Sent using Jamii Forums mobile app