Kwanini mti wa uzazi wa mpango a.k.a Terminalia Catappa unahusishwa na uchawi

Kwanini mti wa uzazi wa mpango a.k.a Terminalia Catappa unahusishwa na uchawi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Mti huu nimetaka kuupanda lakini kuna watu kama watatu wanasema mti huo una uhusiano na masuala ya ushirikina kwamba husababisha matatizo ya uzazi ktk family. Tuache uchawi ktk utunzaji mazingira na mvua hizi naupanda msinitishe. Ova

N'yadikwa
Screenshot_20190330-184942_Gallery.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uhuni wa mchungaji njaa mmoja alisema uongo na watu wasiofikiri wakaamini!

Kiki mpk makanisani! Huu ni ushirikina tu kama wa Dokta Manyaunyau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom