Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Change in pressure/ light.
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.
Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.
Karibun :
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.
Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.
Karibun :
Kuna ishara za kutambua kama mtoto aliyezaliwa ni mzima au la. MOJA ya ishara Na ya muhimu ni mtoto kulia. Kulia kunasadia mtoto kufungua mapafu Na hivyo kuanza kupumua mwenyewe. Hiyo ni Furaha tosha kwa mama. Asipolia kuna mashaka na pengine hufinywa ili alie. Mtoto halisi anazaliwa akiwa amekunja ngumi mikono yote. Kama viganja vyake vimefunguka huyo ni Taahira. Habari ndo hiyo
Nasubiri jibu la hapaHata akitolewa kwa njia ya upasuaji kutoka kwa mama yake lazima akunje mikono?
Daah kitambo sana takribani miaka 6 sasa kusikia swali hili.Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.
Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.
Karibun :
dahNahisi anaogopa haya Mambo ya vyama vingi na serikali kuamia dodoma