Kwanini mtoto analia pale wakati wa kuzaliwa.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.

Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.

Karibun :
 
Unakuja duniani ukiwa unalia watu wanacheka, utaondoka ukiwa unacheka (kama ni mtu mwema) watu wanalia
 
Sijui vizuri,bt naona ndo nature,tumeumbwa hivo,and inathibitisha uhai wa mtoto
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.

Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.

Karibun :

Amebadili mazingira!
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.

Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.

Karibun :

Amebadili mazingira!from womb to external environment
 
Kuna ishara za kutambua kama mtoto aliyezaliwa ni mzima au la. MOJA ya ishara Na ya muhimu ni mtoto kulia. Kulia kunasadia mtoto kufungua mapafu Na hivyo kuanza kupumua mwenyewe. Hiyo ni Furaha tosha kwa mama. Asipolia kuna mashaka na pengine hufinywa ili alie. Mtoto halisi anazaliwa akiwa amekunja ngumi mikono yote. Kama viganja vyake vimefunguka huyo ni Taahira. Habari ndo hiyo
 
Hata akitolewa kwa njia ya upasuaji kutoka kwa mama yake lazima akunje mikono?

Kuna ishara za kutambua kama mtoto aliyezaliwa ni mzima au la. MOJA ya ishara Na ya muhimu ni mtoto kulia. Kulia kunasadia mtoto kufungua mapafu Na hivyo kuanza kupumua mwenyewe. Hiyo ni Furaha tosha kwa mama. Asipolia kuna mashaka na pengine hufinywa ili alie. Mtoto halisi anazaliwa akiwa amekunja ngumi mikono yote. Kama viganja vyake vimefunguka huyo ni Taahira. Habari ndo hiyo
 
Habari zenu wakuu. Nahitaji kufahamu kwa nini mtoto analia anapozaliwa. Na mtoto anapolia akizaliwa mzazi ufurahi.

Lakin mtoto hasipolia mzazi upatwa na wasiwasi.

Karibun :
Daah kitambo sana takribani miaka 6 sasa kusikia swali hili.

Mkuu hili ni swali common sana kwa wanafunzi wanaochukua biolojia kidato cha 6 kwenye mada ya reproduction.....ukimpata mwanfunzi wa level hiyo ni lazima awe na uwezo wa kukujibu hili kwa ufasaha.

Mimi nimeshasahu jawabu lake kwa ufasaha ila kiufupi mtoto kabla ya kuzaliwa anamtegemea mama kwa kila kitu kuanzia chakula, upumuaji, na utoaji taka mwili. Sasa kulia wakati wa kuzaliwa ni njia inayomsaidia kumfanya mtoto aanze kujitegemea kupumua mwenyewe kwa kutumia mapafu yake. Pale anapolia anakuwa anaboost mechanisms fulani katika mwili wake zifanyike kwa kupush hewa ndani.

Wanafunzi wa michepuo ya PCB, CBG, CBA na CBN Mje huku mjipime upepo.
 
Mabadiliko ya hali.... Anakuwa ametoka kwenye sehemu aliyoizoea (comfort zone) na kuingia kwenye maumivu (baridi)
 
Back
Top Bottom