Hapo sio sayansi tena ni mambo ya Munguhilo la kulia naona si kubwa, kubwa ni nani kinamfundisha mtoto aliyezaliwa dakika chache tu kwamba akipewa kitu mdomoni lazima avute ni nini? (anyonye); sababu hajui chochote kile wala hajui kwamba kashazaliwa tayari duniani.
kuna watu huwa hawaamini Mungu, wao wanaamini sayansi - sasa waje watuambie ni kichocheo gani kinachofanya mtoto ajue sasa hupo duniani lazima aanze kuvuta nyonyo ya mama ili maziwa yatoke na asipofanya hivyo atapoteza maisha, kumbuka by the time mtoto anazaliwa haoni kitu.Hapo sio sayansi tena ni mambo ya Mungu
Kuwen Makin Na Hii Mada Isije Enda Katika Ulimwengu Wa Kiroho
umeshapata mimba na kujifungua aungoja nifinye kichanga chetu hapa kinalala tu kizembe kipate ugonjwa wa moyo bure
Hivi mtoto ukimfinya unategemea acheke kwa maumivu aliyoyapata?mtoa hoja anasema kwa nini mtoto alie na asitumi njia nyingine? kwa mfano anaweza kucheka na huko kunaweza pia kusababisha mapafu yake yakapanuka siyo.
Mkuu acha tu...M/ Mungu fundihilo la kulia naona si kubwa, kubwa ni nani kinamfundisha mtoto aliyezaliwa dakika chache tu kwamba akipewa kitu mdomoni lazima avute ni nini? (anyonye); sababu hajui chochote kile wala hajui kwamba kashazaliwa tayari duniani.
Sasa ataeezaje kulia kama bado hajazaliwa....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna rafiki alinambia kun mambo 5 ambayo humfanya Mtoto kulia...
Yeye alinijuza mawili tu
1: Kufungua mapafu ili Kupitisha hewa
2: Huona mabaya yafanywayo duniani.
Je, sababu zingine zipi?
Mkuu naona unatema shule.. kuna portion ya moyo inahitaji kufanyeje??.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna portion ya moyo inahitajika kufunguka wakati mtoto ametoka kwenye tumbo la uzazi hivyo inahitajika oxygen wakati huo ili ile sehemu ifunguke ndio maana analia ili kuruhusu oxygen nyingi ipite kwenye mapafu na ndio maana huwa unaona asipolia kuna vitu wanafanya ili aweze kulia kifupi hivyo.
Vitu kama hivi huwezi kuelezea kama ulivyofunzwa inabidi ueleze ulivyoelewa sikupata mwalimu mzuri wa physiology mkuu.Mkuu naona unatema shule.. kuna portion ya moyo inahitaji kufanyeje??.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Zinatosha hizi nilizosoma
Halafu niliwahi kusikia kuna uhusiano wa karibu kabisa kati ya kuwahi/kuchelewa kulia na akili yaani mtoto akiwahi kulia mara tu anapozaliwa atakuwa na akili sana na akichelewa sana kuna uwezekano akawa taahira. Je kuna ukweli katika hili?Mabadiliko ya ghafla ya mazingira/ hali ya hewa kutoka ya joto la nyuzi 37 degrees centigrade ndani ya tumbo la mama yake hadi hali ya baridi na upepo mkali wa dunia yetu, humfanya alie sana. Kitendo cha kulia husababisha avute hewa ya dunia kwa mara ya kwanza na kuyapanua mapafu yake na kuanzisha automatic breathing process.
NB: Akiwa ndani ya tumbo la mama mtoto huwa hali chakula kwa mdomo wala huwa hapumui kwa pua. Mahitaji yake ya chakula na hewa huyapata kwa mama yake kupitia kitovu chake hadi kwenye kondo la mama yake. Hivyo mapafu huwa yame collapse. Akizaliwa akashindwa kulia basi atashindwa kupumua na baada ya dakika chake lazima ataaga dunia.
Nadhani Ni survival instinct tu.kuna watu huwa hawaamini Mungu, wao wanaamini sayansi - sasa waje watuambie ni kichocheo gani kinachofanya mtoto ajue sasa hupo duniani lazima aanze kuvuta nyonyo ya mama ili maziwa yatoke na asipofanya hivyo atapoteza maisha, kumbuka by the time mtoto anazaliwa haoni kitu.
Well said Dr AkiliHivi mtoto ukimfinya unategemea acheke kwa maumivu aliyoyapata?
Hiyo sudden change of environment husababisha maumivu makali. Kwa hiyo kama yuko normal lazima atalia and this is how mother nature (also known as God) had set things. Atalia kwa baridi hadi atakapokuwa amefunikwa kwa manguo/ blanket na kupatiwa joto kwa kumlaza in contact na mwili wa mama yake (kangaroo style).
Halafu mtoto mchanga hana reflex ya kucheka. Akiwa na furaha hacheki bali huchapa usingizi. Akiwa na shida yo yote (eg ana njaa, amejikojolea, anaumwa, anasikia baridi nk) atalia. Mambo ya kucheka yanaanza baada ya kufikisha umri wa miezi kadhaa.