Hivi mtoto ukimfinya unategemea acheke kwa maumivu aliyoyapata?
Hiyo sudden change of environment husababisha maumivu makali. Kwa hiyo kama yuko normal lazima atalia and this is how mother nature (also known as God) had set things. Atalia kwa baridi hadi atakapokuwa amefunikwa kwa manguo/ blanket na kupatiwa joto kwa kumlaza in contact na mwili wa mama yake (kangaroo style).
Halafu mtoto mchanga hana reflex ya kucheka. Akiwa na furaha hacheki bali huchapa usingizi. Akiwa na shida yo yote (eg ana njaa, amejikojolea, anaumwa, anasikia baridi nk) atalia. Mambo ya kucheka yanaanza baada ya kufikisha umri wa miezi kadhaa.