Kwanini mtoto hulia baada ya kuzaliwa?

Kwanini mtoto hulia baada ya kuzaliwa?

Halafu niliwahi kusikia kuna uhusiano wa karibu kabisa kati ya kuwahi/kuchelewa kulia na akili yaani mtoto akiwahi kulia mara tu anapizaliwa atakuwa na akili sana na akichelewa sana kuna uwezekano akawa taarifa. Je kuna ukweli katika hili?
Mie nadhani hii inasababishwa na body na mind response madaktari njoo mseme basi sie wengine hatujui haya mambo kwa undani sana.
 
Nadhani Ni survival instinct tu.
Hata mtoto wa mbuzi au mbwa atakimbilia tu nyonyo akizaliwa.
Alafu hapo ndio utagundua kuwa ubongo ni kitu ya ajabu sana mtoto hajui kitu ila ukimsogezea ziwa tu analipokea kama vile anajua ni nn anapewa
 
kuna watu huwa hawaamini Mungu, wao wanaamini sayansi - sasa waje watuambie ni kichocheo gani kinachofanya mtoto ajue sasa hupo duniani lazima aanze kuvuta nyonyo ya mama ili maziwa yatoke na asipofanya hivyo atapoteza maisha, kumbuka by the time mtoto anazaliwa haoni kitu.
Process ya kuvuta hewa ikikamilika inamsababishia njaa,sasa kama binadamu atahitaji chakula
 
Halafu niliwahi kusikia kuna uhusiano wa karibu kabisa kati ya kuwahi/kuchelewa kulia na akili yaani mtoto akiwahi kulia mara tu anapizaliwa atakuwa na akili sana na akichelewa sana kuna uwezekano akawa taarifa. Je kuna ukweli katika hili?
Ni kweli kabisa. Mtoto akichelewa kulia maana yake atachelewa kumpumua ili kupata hewa ya oxygen. Cells zake za mwili hukosa oxygen, hewa ambayo ni muhimu sana kwa utendaji (metabolism) ya cells. Cells za ubongo ndizo zenye uhitaji mkubwa wa oxygen kuliko cells zingine. Ukosefu wa oxygen kwa muda wa dakika moja unatosha kufa kwa baadhi ya cells hizi za ubongo. Kama ukosefu huu utadumu kwa dakika 5 cells nyingi za ubongo hasa zilizo eneo la cerebral cortex hufa. Eneo hili la cerebral cerebral cortex ndilo linashughulika na fahamu (uelewa, utambuzi na fikira). Ukosefu wa oxygen ukidumu dakika 7 hadi 10 cells zote za ubongo hufa na hivyo organs zote za mwili huacha kufanya kazi kwani control zake iko kwenye ubongo; hivyo mtoto anakuwa ameaga dunia.

Hivyo kiwango cha kuathirika kwa ubongo hupimwa kwa dakika ambazo mtoto aliyezaliwa amekosa kupumua (kulia) kwa kutumia apgar score. Mtoto anayelia mara tu baada ya kuzaliwa anapewa apgar score of 10 at 0 minute. Huyu ubongo wake haujaathirika hata kidogo. Yule atakayelia baada ya dakika tano huyo atakuwa taahira mkubwa (cerebral palsy) maishani yake yote -- permanent brain damage = imbecile, cabbage. Wale walio lia baada ya dakika 1 hadi 4 watakuwa na upungufu wa akili kutegemea na dakika walizoshindwa kupumua. Hivyo mtu ambaye uwezo wake ungalikuwa wa Division one utapungua hadi kuwa wa divission II, III, IV au O (kutegemea na dakika alizokosa oxygen) ila hatakuwa tahira. Hivyo kipindi cha kuzaliwa is a very critical period for the quality of the next generation of the nation. Na ni muhimu uzazi huo ukafanyika kwenye hospitali yenye vifaa na watalaam wa kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanakuwa na apgar score 10 at 0 minute. Matatizo mengi tunayopata Tanzania kwenye medali nyingi hususani za kisiasa zinatokana na wengi wetu kuwa na apgar score 0 at one minute hadi 4 minutes (yaani apgar scores za nyumbu).
 
Ni kweli kabisa. Mtoto akichelewa kulia maana yake atachelewa kumpumua ili kupata hewa ya oxygen. Cells zake za mwili hukosa oxygen, hewa ambayo ni muhimu sana kwa utendaji (metabolism) ya cells. Cells za ubongo ndizo zenye uhitaji mkubwa wa oxygen kuliko cells zingine. Ukosefu wa oxygen kwa muda wa dakika moja unatosha kufa kwa baadhi ya cells hizi za ubongo. Kama ukosefu huu utadumu kwa dakika 5 cells nyingi za ubongo hasa zilizo eneo la cortex hufa. Eneo hili la cortex ndilo linashughulika na fahamu (uelewa, utambuzi na fikira). Ukosefu wa oxygen ukidumu dakika 7 hadi 10 cells zote za ubongo hufa na hivyo organs zote za mwili huacha kufanya kazi kwani control zake iko kwenye ubongo; hivyo mtoto anakuwa ameaga dunia.

Big up sana Daktari, umeshusha nondo za ukweli hata wale wasioelewa naamini watakuwa wameelewa, umenifurahisha zaidi ulivyolink apgar score na politics/economics ya nchi yetu. Decision muhimu za nchi zinafanywa na watu walioscore 0 at 5 minutes akina bashite na jamaa yake alcohol kwa style hii hatuwezi kufika.
 
Ni kweli kabisa. Mtoto akichelewa kulia maana yake atachelewa kumpumua ili kupata hewa ya oxygen. Cells zake za mwili hukosa oxygen, hewa ambayo ni muhimu sana kwa utendaji (metabolism) ya cells. Cells za ubongo ndizo zenye uhitaji mkubwa wa oxygen kuliko cells zingine. Ukosefu wa oxygen kwa muda wa dakika moja unatosha kufa kwa baadhi ya cells hizi za ubongo. Kama ukosefu huu utadumu kwa dakika 5 cells nyingi za ubongo hasa zilizo eneo la cortex hufa. Eneo hili la cortex ndilo linashughulika na fahamu (uelewa, utambuzi na fikira). Ukosefu wa oxygen ukidumu dakika 7 hadi 10 cells zote za ubongo hufa na hivyo organs zote za mwili huacha kufanya kazi kwani control zake iko kwenye ubongo; hivyo mtoto anakuwa ameaga dunia.

Hivyo kiwango cha kuathirika kwa ubongo hupimwa kwa dakika ambazo mtoto aliyezaliwa amekosa kupumua (kulia) kwa kutumia apgar score. Mtoto anayelia mara tu baada ya kuzaliwa anapewa apgar score of 10 at 0 minute. Huyu ubongo wake haujaathirika hata kidogo. Yule atakayelia baada ya dakika tano huyo atakuwa taahira mkubwa (cerebral palsy) maishani yake yote -- permanent brain damage = imbecile, cabbage. Wale walio lia baada ya dakika 1 hadi 4 watakuwa na upungufu wa akili kutegemea na dakika walizoshindwa kupumua. Hivyo mtu ambaye uwezo wake ungalikuwa wa Division one utapungua hadi kuwa wa divission II, III, IV au O (kutegemea na dakika alizokosa oxygen) ila hatakuwa tahira. Hivyo kipindi cha kuzaliwa is a very critical period for the quality of the next generation of the nation. Na ni muhimu uzazi huo ukafanyika kwenye hospitali yenye vifaa na watalaam wa kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanakuwa na apgar score 10 at 0 minute. Matatizo mengi tunayopata Tanzania kwenye medali nyingi hususani za kisiasa zinatokana na wengi wetu kuwa na apgar score 0 at one minute hadi 4 minutes (yaani apgar scores za nyumbu).
Daktari looooo!!!!!! Nimeelimika..mwanangu wa kwanza hiyo score ilikuwa 10 at 0 minute wa pili ilikuwa 9 and after one minute 10.

Sidhani km ni kizazi cha nyumbu maana mtoto wangu yupo vizuri /active sana..

Hii comment yako imekaa kichokozi..

Congratulation
 
Dr akili umeandika vizuri na hii SAA 3:27 sijuti kufungua huu Uzi. Nimejifunza kitu kikubwa sana
 
Nilikuwa nikisoma kadi wkt nimepumzika baada ya kujifungua nabaki nimeshangaa tu najiuliza what is upgar ila nimeelewa sasa
 
Kama analia ili oxygen ipite kwenye mapafu ni kwa nini asicheke kwa raha zake ili hewa ipite?? Nafikiri anaona ulimwengu wa ajabu tofauti na alivyokua tumboni. Ndio maana watoto wanaona ulimwengu wa roho, wachawi na mambo yao ya ajabu. Aliyecheka wakati wa kuzaliwa ana tatizo, ni kwa nini afurahie mabaya ya duniani??
biological process usichanganye na ushirikina/udini...hakuna mtoto anyezaliwa akiwa anacheka hata Yesu na Mohammed walilia!..
 
Kuna rafiki alinambia kun mambo 5 ambayo humfanya Mtoto kulia...
Yeye alinijuza mawili tu

1: Kufungua mapafu ili Kupitisha hewa

2: Huona mabaya yafanywayo duniani.

Je, sababu zingine zipi?

Hivi na watoto wa kizungu nao wanalia? Mimi nilikuwa nilkuwa nadhani wakwetu wanalia kwa sababu wajiona wamezaliwa BONGO..
 
Hivi viumbe wengine (ng'ombe mbuzi nyati nk) wao wanafunguaje mapafu maana siwasikii wakilia wazaliwapo
 
Back
Top Bottom