Kwanini mtu aanguke bafuni?

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
62
Imekuwa kawaida kusikia kwamba fulani kadondoka bafuni, na baada ya hapo waliowengi huishia kupota STROKE.

Swali langu ni je? kwanini kuanguka bafuni/chooni na si sehemu nyingine kama chumbani n.k.

Tafadhali madaktari nieleweshe.
 
all i've ever heard is that this is usually associated to mambo ya kishirikina .. i also wanna know why scientifically???
 
The little I know, usiende kuoga kama ndio kwanza baada ya kula. Kwa nini damu nyingi inakwenda tumboni kwa ajili ya digestion..... hivyo damu ndogo kuwa kwenye brain. Hii inaweza fanya mtu aishiwe nguvu na kuanguka.

Kwa upande mwingi naweza kusema inakuwa kama coincidence tu, watu kuanguka bafuni na kufa, kama vile watu wengi wanavyokufa wakiwa wamelala, au wale wagonjwa wanaokufa baada ya kupata nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…