The little I know, usiende kuoga kama ndio kwanza baada ya kula. Kwa nini damu nyingi inakwenda tumboni kwa ajili ya digestion..... hivyo damu ndogo kuwa kwenye brain. Hii inaweza fanya mtu aishiwe nguvu na kuanguka.
Kwa upande mwingi naweza kusema inakuwa kama coincidence tu, watu kuanguka bafuni na kufa, kama vile watu wengi wanavyokufa wakiwa wamelala, au wale wagonjwa wanaokufa baada ya kupata nafuu.